Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Umbea at its best.
Hotuba huandikwa na pale alikuwa asome na kisha kufafanua....ila baada ya kuona muda hauruhusu akaamua kusema alichoona cha muhimu baada ya waliotangulia(km mgombea mwenza) kuwa wameshayasemea baadhi
Kwenye mkutano wa CCM hapo tuliona wote kilichotokea...kama Magufuli angefuata sheria unafikiri angeweza kusoma kile alichokisoma na kufafanua kwa jinsi alivyoweza?
Nafikiri wote (CCM/UKAWA) kampeni zetu lazima zibadilike ....mgombea apewe muda mrefu zaidi kutangaza vipaumbele vyake na kuelezea kidogo jinsi atavyotekeleza!
All in all siasa ni siasa tu .....kuisoma hadhira yako na kuongea wanachotaka kusikia...thats all (of course umaarufu wako unamatter pia)

Wewe wacha porojo, waliokuwa wanaratibu walikuwa hawana saa?

Yale mapambio na kuwaimbisha kwaya kina Duni yalihusu nini?
 
Ndg ulikua huckilizi kwa makini,hakuna sakata la rushwa na uonevu ulofanywa na CCM ambao haukuwekwa wazi|haukuzungumziwa,acha kupotosha.....
 
Kwa mwenye uelewa mkubwa atasadiki hizi sera za lowassa


Linganisha vipaumbele vya hawa Wagombea wetu,
LOWASSA,
1.Elimu
2.Kilimo
3.Afya
4.Mawasiliano
5.Nidhamu pamoja na Utawala bora.
Kwenye kona ya kitalaaam Lowassa yuko vizuri sana amegusa mahitaji ya jamii kwa kutumia lugha ambayo inaeleweka kwa kila mtu, intellectual pamoja na layman


VS


Azhadi za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za wana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa
Hakuna Tafiti yoyote duniani ambayo unaweza kutekeleza kwa kuwa na Malengo (objectives 32)kwa Kipindi Cha miaka mitano utaalamu hapo umewekwa pembeni ila utamu wa lugha ndo umewekwa mbele Hakuna uhalisia (insight and realistic) ndorooboo
 
Kila wanachotaja kipo katika ilani ya CCM vingine vinasubiria pesa vianze utekelezaji mfano reli ya kati,kufufua Air Tanzania( kumbuka PAC wakati wa zito kabwe na TANAPA)
 
Mimi ni mtanzania mwenye ufahamu timamu. Hayo makundi ya ccm ni ya kutengeneza kwa kuwakusanya kwa malori. Umati gani huo usiochangamka. Utajua tu kuwa wamelazimishwa kuja mkutanoni. Ona mkutano wa ukawa ulivyochangamsha. Ona malofa kwenye ubora wao
 
Leo katika kusikiliza na kutazama uzinduzi wa kampeni za UKAWA sijaisikia sifa ya UADILIFU kwa mgombea kipenzi pia katika ilani niepitia sijaona mkakati wowote wa kupambana na UFISADI nchini.., najua lengo KUU LA UKAWA ni kuing'oa ccm katika dole tunaomba maelezo ya hayo pia.
 
Sumaye kaongelea swala la Richmond na kadhibitisha kuwa LOWASA hakuhusika ila alijihudhuru kuepusha serikali isianguke. Kasema hata ripoti ya mwakembe imesema "haikumkuta lowasa na hatia" anaebisha afungue tovuti ya bunge.
 
Utaweweseka sana mwaka huu mwakyembe ndiye kanjanja na tapeli kwenye hili sakata na lazima ataumbuka tu mwaka huu unafiki na ubaya mwisho wake ni aibu
 
Msijisumbue/kupoteza muda kuandika mipost iko BIASED.SIKU HIZI WATU WANA UELEWA.Anasoma post akiona ipo biased;ANATUPA KULE....
ANATUNZA KIKATIO

Hahaha nafuu umewaambia HAWA VIBARAKA WA CCM WA ELFU 7 TU.
 
Nilidhani Lowassa atazungumzia Richmond. Mbowe Kanyamaza maana anajua alikuwepo bungeni wakati wa sakata la Richmond. Mzee Wangu Sumaye alikuwa marekani Wakati wa sakata la Richmond. Amedhihirisha kuwa yeye zero kwa kutetea asilolijua. Shame on you tribalistic politicians


Lowasa alishasema mweshe ushahidi ampeleke mahakamani
Pia bunge kupitia aliekuwa mwenyekiti wa tume ya kuchunguza kashifa ya richmond mwakyembe alisema hana hatia sasa ili kulinda uongozi wa juu ndio wakamwambia ajipime
 
Leo ndiyo nimeamini kabisa maneno ya Mkapa, tena na mimi nnaongezea, licha kuwa ni wapumbavu wanaoshadidia lile gonjwa lichaguliwe, pia ni mazumbukuku na mapunguani wa hali ya juu.

Jana kajidai ataongea akiwa amekaa kwa kuwa yeye "mrefu" sana, mikono akashindwa kunyanyua kusalimiana na wasanii, leo wamemweka aongee dakika za majeruhi ili avunge muda hautoshi.

Hivi hawa watu wa aina gani jamani?

Kwa niliyoyaona, 100% Mbowe kapiga pesa na anajuwa huyu hafai, wanachofanya pale ni maigizo ya kumridhisha tu kwa kuwa washalamba mshiko.

Najaribu kufikiria huyu mtu kweli angegombea kupitia CCM tungemtetea vipi?
Sumaye na Tambwe Hiza nadhani wanaijua CCM kuliko nyote hapo, kama wale ni mazumbukuku na mapunguani basi nyinyi mjitafutie jina maana sipati picha ninyi mna hali gani?
 
Hakuna Mvua Jangwani...Na watu Wanaendelea Kumiminika.. Do !!! Dr.Prof E. Lowassa Anapendwa Jamani...

LOWASSA ANAPENDWA SANA NA ANA SERA ZA KUMSAIDIA MTANZANIA MASIKINI...sio yale matusi na mipasho ya CCM.
 
Back
Top Bottom