Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Tez dume (jk) aliongea mengi sana ya maana 2010, lip jipya alilofanya. Wa2 wanataka vtendo sio maneno
 
Kila wanachotaja kipo katika ilani ya CCM vingine vinasubiria pesa vianze utekelezaji mfano reli ya kati,kufufua Air Tanzania( kumbuka PAC wakati wa zito kabwe na TANAPA)

Ilan ya miaka 55 mabomba yatatoa maziwa
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Hata mie mtoto wa kabwela naamini changes ila waswahili wanasema " ukitaka ubaya dai chako" utambiwa rofa mgonjwa shoga
 
Nachukia wanaongea,shabikia mambo ya UKANDA/UKABILA! Niulize tu,watu hao hawana haki ya kuongoza nchi hii baada ya MIAKA 54?
 
Leo tuikuwa na kazi moja hivi ya kuhamisha n'gombe kwa kutumia gari ilikuwa kazi kwelikweli sasa najiuliza ilikuwajekuwaje twiga kupakiwa kwenye ndege!!! haya maccm hayafai
 
Mpaka aibu mnaona wana ukawa.....kiukweli mmepwaya sana.....chama kimeonyesha hakina dira leo mnatueleza tukasome Kwenye wepsayte hivi mwananchi wakawaida huo mda anautoa wapi nani wangapi wanatambua au wanauelewa wamatumizi ya mtandao hiyo....kiukweli mmetia aibu ya mwaka....

aliesababisha wananchi wa kawaida wasiwe na uelewa, wasiweze kutambua ni nani!? kama mlikuwa mnajua ni muhimu kwa mwananchi wa kawaida kuelimika kwa nini hamkulishughulikia hilo karne zoooote hizo mlizokuwa madarakani? embu usituchoshe, kama unataka story za alfu ulela, mpigie JK simu....
 
Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara

Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu


mharooooooo, magambaaaaa
 
Leo katika kusikiliza na kutazama uzinduzi wa kampeni za UKAWA sijaisikia sifa ya UADILIFU kwa mgombea kipenzi pia katika ilani niepitia sijaona mkakati wowote wa kupambana na UFISADI nchini.., najua lengo KUU LA UKAWA ni kuing'oa ccm katika dole tunaomba maelezo ya hayo pia.

Hawezi tupa mawe ukiwa kwenye jumba la vioo
 
Nimeangalia Nimeangalia na kusikiliza hituba yaMh Lowassa aliyoitoa kwenye ITV na ni maoni yangu kuwa angeweza kuitoa pale jangwani kwa muda aliokuwa nao na ingekuwa vyema tu. Ni bahati mbaya kuwa alikosa nafaxi hiyo na kuwaudhi mashabiki wake wengi ambao walitoka kiwanjani hapo na kiu ya walichotaka kusikia. Nafikiri Lowassa siyo mwanasiasa, labda ni mtendaji mzuri!
 
Amesema atapitia mikataba yote ya madini gesi na mafuta na kuifanyia marekebisho kwa lengo la kuongeza tija kwa taifa
 
Ziko porojo nyingi lakini wananchi wana hasira kwa hasira hizo wako tayari kuangalia pembeni na hawatatizana huko kwenu japo mnawatisha na LIBYA lakiniwanasena mbona hamseni NIGERIA
 
Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara

Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu

Hiyo ya watu wa Dar wamuombee kura Bara hata mm sijamuelewaa
Alimaanisha watu wapande mabasi waende bara kumpigia kampeni au vp 😳😳😳
Au anajua Dar ipo Zanzibar
Au alikuwa anahisi yupo zanzibar????
 
BIBI.jpg
 
Back
Top Bottom