Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
At least sasa, nina uhakika kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye!!
Viva CHADEMA, Viva UKAWA, Viva LOWASSA!!!
Kwani ulifikiri kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu atamchagua Magufuli na CCM yake?
At least sasa, nina uhakika kuwa LOWASSA ndiye Rais ajaye!!
Viva CHADEMA, Viva UKAWA, Viva LOWASSA!!!
CCM hawashindi, achana na hizo porojo za wizi wa kura.
Kwa maana hiyo hii nchi itatawaliwa na CCM milele?
Piga kura yako kwa Lowassa, ushindi ni wa uhakika.
Vyovyote vile itakavyo kuwa, uchaguzi wa mwaka huu haujawahi tokea katika historia ya Tz. Mungu ibariki Tanzania.
Tumia akili wewe kanyaboya kwani ume ambiwa kampeni zimeisha? ule ni ufunguzi tu wa kampeni,mwambie bibi yako tutamfikia huko aliko na kumpa darasa la nguvu ili aachane na akili za kale za kung,ang,ana na MiCCM.
Kumbe hapo njombe,dah! kweli mmeweweseka
Hao wachache sana, linganisha density ya watu! Yaani katika mita moja ya mraba kuna watu wachache zaidi ukilinganisha na uzinduzi wa Ukawa kupitia chadema! Labda kama una makengeza hutaliona hilo! cc faizafoxy
Natamani kukuchumbia we binti...kwa comments zako hizi,duh.
Tumia akili wewe kanyaboya kwani ume ambiwa kampeni zimeisha? ule ni ufunguzi tu wa kampeni,mwambie bibi yako tutamfikia huko aliko na kumpa darasa la nguvu ili aachane na akili za kale za kung,ang,ana na MiCCM.
Hahahaaaaa utanipenda zaidi tukichukua nchi.
Tupambane tu, mazuri yaja.
Jirani jana ulikuwa Jangwani lakini?
kwa mtu mwenye akili timamu awezi beza umati wa watu wanao mpenda lowassa na ukawa
kwa mtu mwenye kusoma majira na nyakati ana aja ya kuendelea kumchafua mtu anayependwa na watu
ameanza kupendwa tangu yupo ccm na sasa yupo ukawa
Tusome majira na nyakati
aisee sikufanikiwa kwenda jangwani,nilikua nachungulia kupitia luninga.
Ntakuwa nimeshakuoa,nategemea tufunge ndoa yetu siku Lowassa anaapishwa.
Aaah bwana jirani vibaya hivyo! Umekosa burudani ambayo hutokaa uipate....Trust me.
Hizo ni ndito za alinacha. Huijuwi CCM, unaisikia tu.
![]()
Njombe
Hilo nalijutia maisha but mambo fulani fulani yalinifanya nishindwe ku attend,naona CCM akili zime waruka.
Achaaaa, jana tumetoka uwanjani wakati wa kurudi home watu walikua kibao barabarani wakitushangilia as if wanajeshi wametoka vitani tena walioshinda vita kuu ya dunia!
Ilikuwa raha sana, wazee walikuwa wanashika midomo wasiamini walichokuwa wanakiona!
Chaguweni hata pakacha, mko huru.
Lakini kumbuka Ku Klux Klan Tanzania hawatatawala.
Zamani Sana tulikua hatujui ,kuwa mtu akipendwa tunampa uongozi ,lakini Leo tumejua kuwa upendo huleta dikteta hatutakubali Tena kutengeneza Dikteta na kulipa visasi huleta vita say No kwa ukawa