Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.

Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?

Magufuli.JPG
 
Magufuli anasahaulika rasim kuanzia leo maana sasa ni mwendo wa mchakamchaka hadi 25October
 
NNACHOKIONA HAPA NI SISIEM wakae kimya,
Mana haya yote yanayosemwa ni kutoka kwa inside person
Kitu ambacho ni hatari sana kwa SISIEM
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.

Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?

Wanadamu wote ni wagonjwa (kwa kiasi fulani), ndio sababu hata hospitali kuwa wanaolazwa wodi za kawaida na wengine ICU. Kwa sasa wagombea wanaonesha tofauti za afya zao, wengine hata kuhutubia kwa dakika 10 shida! Sumaye anaweza kupiga kelele sana lakini ukweli uko pale pale!

Hata hivyo, nampa pole mzee wetu Lowassa, ugonjwa si siasa.
 
Lowassa kasimama saa moja na nusu bila kutetereka na kusoma vpaumbele vyake kama uliangalia taarifa yake saa tatu vinginevyo ulikua bado kwenye taarabu
 
Wanadamu wote ni wagonjwa (kwa kiasi fulani), ndio sababu hata hospitali kuwa wanaolazwa wodi za kawaida na wengine ICU. Kwa sasa wagombea wanaonesha tofauti za afya zao, wengine hata kuhutubia kwa dakika 10 shida! Sumaye anaweza kupiga kelele sana lakini ukweli uko pale pale!

Hata hivyo, nampa pole mzee wetu Lowassa, ugonjwa si siasa.
Kama Lowassa atakuwa mgonjwa basi kumbuka Magufuli kasha oza mwili mzima. Yaani ni bua la mhindi any time kama damu itaisha kule ulaya kwenye bank hatunaye tena.
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.

Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?

Petro, my leaned brother use signs and symptoms tumia picha ya Samunge kama hana jua mzima kama anazo utajua
 
Jamaa walitoa kali ya mwaka, walikuwa wakigombania makopo barabarani, wanasema hiyo ndio mojawapo ya ajira zile 1000000 walizoachiwa nakikwete
 
Attachments

  • 1440924292045.jpg
    1440924292045.jpg
    46.1 KB · Views: 130
  • 1440924321213.jpg
    1440924321213.jpg
    52.2 KB · Views: 135
  • 1440924344326.jpg
    1440924344326.jpg
    42 KB · Views: 139
Lowasa yupo vizuri sana, na nadhan siku akiwa raisi ntapata demu coz nmechoka na punyeto
 
Back
Top Bottom