Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Majumuisho na mwisho wa thread: Mkutano ulifanikiwa sana zaidi ya matarajio. Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko. Hamasa imeongezeka mikoani hasa baada ya umeme kuzima kwa matatizo ya kiufundi ama kusudi hatuelewi sababu kuu.
Saa tatu usiku UKAWA kupitia Lowassa walisoma vipaumbele vyao vipo poa kwakuwa vimetaja miaka mitano ya urais . Sasa wenzetu hawana vipaumbele wanaeleza kila jambo kuwa kipaumbele na hawataji time frame wanafikiri rais anakaa miaka kumi , ni walevi wa urais. Hayo wanayoongea huwezi tekeleza kwa miaka mitano.lazima uwe na vipaumbele vichache ambavyo vitasaidi a maeneo mengine directly or indirectly yaani uwe strategic planner and manager.UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!