Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

teh teh teh.. Siku hizi Jangwani kumegeuka Njombe?

Njombe hapajui huyo njombe hayo maghorofa yatoke wapi ?? njombe maghorofa yaliopo makubwa ni ya Roman Catholic picha ya kushoto na ya kulia ya kushoto iwe jangwani ya kulia iwe njombe
ha ha ha ha bi FaizaFoxy umechanganyikiwa uwanja wenyewe wa kampeni ya magufuli ulikua sabasaba uwana ule ni wa mpira una jukwaa moja ka uwanja kenyewe kadogo

vip bibi pombe unatumia kumbe ??
 
Last edited by a moderator:
Achaaaa, jana tumetoka uwanjani wakati wa kurudi home watu walikua kibao barabarani wakitushangilia as if wanajeshi wametoka vitani tena walioshinda vita kuu ya dunia!

Ilikuwa raha sana, wazee walikuwa wanashika midomo wasiamini walichokuwa wanakiona!

Safi sana

ccm wakirudi nyumbani wanazomewa
 
CCM hawashindi, achana na hizo porojo za wizi wa kura.
Kwa maana hiyo hii nchi itatawaliwa na CCM milele?
Piga kura yako kwa Lowassa, ushindi ni wa uhakika.

We binti wewe! hongera kwa kujitambua.
 
Al-shabaab kweli mjinga, hata Zito alipotoswa ulisema kitakufa leo umeamia kwa Dr. Naona dozi inakuingia taratibu.
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,Mh. Fredrick T. Sumaye,akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za UKAWA jana,aliuliza swali. Alianza kusema watu wanamsema mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa kuwa ni mgonjwa.

Sumaye akauliza: Dr. Magufuli ni mzima? Hakufafanua zaidi lakini akatoa mfano wa Mzee Mkapa kufanyiwa operesheni akiwa Rais. Sumaye au yeyote aweza kutufafanulia zaidi juu ya ugonjwa au matatizo ya Dr. Magufuli?
 
Sumaye kaweka hadharani ufedhuri wote wa CCM
 
Back
Top Bottom