Halfcaste
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 972
- 215
Kila mtu ameona kwamba Lowasa kaharibu
Nilipenda Sumaye alivopiga chenga na kumpasia Lowasa lakini finishing nadhani ilikuwa mbaya sana
Kila mtu ameona kwamba Lowasa kaharibu
Acha uvivu jaribu kushirikisha kichwa chako japo kidogo tu..... Watu wanaenda mikutanoni kusikiliza Sera za wagombea ili wafanye maamuzi vyema... Pale walikuwepo watu wa vyama tofauti kusikiliza Sera za ukawa unfortunately they were so disappointed.
kwa mtu mwenye akili timamu awezi beza umati wa watu wanao mpenda lowassa na ukawa
kwa mtu mwenye kusoma majira na nyakati ana aja ya kuendelea kumchafua mtu anayependwa na watu
ameanza kupendwa tangu yupo ccm na sasa yupo ukawa
Tusome majira na nyakati
Kwa upande wangu, Mkutano ulifana sana hasa kwa uwingi wa watu, watu walikuwa wengi saana haijawahi kutokea kwenye medani ya Siasa za Tanzania, tatizo nililoliona kwenye ratiba ya UKAWA, muda aliopewa Mgombea Urais ulikuwa ni mdogo sana, otherwise nawapongeza sana.
Watu wengine kama huyu jamaa wanaenda kuangalia watu sio kusikiliza sera za wagombea ndio mana ukiwauliza wanataka nini watakujibu "MABADILIKO" hamna kitu kingne
Nilichobaini ni kuona chama kikubwa kama CDM kutumia masheikh na maaskofu uchwara na kuacha kutumia viongozi wa wa dini wenye maadili katika madhehebu yao. Mathalani nilishangazwa pale sheikh alipotoa dua kwamba "wazibe mkojo" pia ","wapate kansa ya damu" kwa hakika huu ni udhalilishwaji wa dini ya kiislam kwani ktk msaafu hakuna mahubiri kama hayoHabari za Leo wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa jana mlifwatilia kwa ukaribu Sana mkutano Wa UKAWA pale jangwani. Je nini maoni yako kuhusu mkutano Wa Jana wa UKAWA?
Nilipenda Sumaye alivopiga chenga na kumpasia Lowasa lakini finishing nadhani ilikuwa mbaya sana