Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ila mjifunze kuwa na misimamo, Sumaye hajui Sera za chama chake kipya anajua zaidi alipotoka na aliowaacha huko CCM. Watanzania hawataki mbwembwe wanataka maendeleo, wanaua upinzani wametoka CCM na ugomvi wamehamishia CCM. Tarehe 26 Oct tuonane humu JF

Sera zipo kwenye notes.... Nadhani yule mzee yupo makini sana... Na atakuwa na added advantage kuwa anajua sera ya UKAWA na vilevile ya ccm.. Zaidi ya yote anajua mengi yaliyojificha ndani ya ccm zaidi yako wewe "mtakatifu wa ccm"...
 
Sio tu anajua ni sehemu ya hayo mengi alikuwa senior huko na mkituliza vichwa vyenu hafai kabisa
 
Ndege ya rais, epa, na mikataba mingi hata mauaji ya muembe chai ni chini ya utawala wa sumaye dah bado mnamuona wa maana
 
Jana sumaye aligeuka kuwa .RPG-7 ccm hawawezi inuka tena kwa pigo hilo takatifu kuto kwa kamanda sumaye mungu ampe maisha marefu
 
ToT wana kila aina ya kikundi cha nyimbo.

Flora anaimba nini zaidi ya mapambio?
Mapambio maana yake nini?
Nyimbo ni nini na kusema ToT ni kikundi cha nyimbo maana yake nini?....kwani Komba(mungu amlaze pema) alikuwa muislamu?..au hakuwa na dini?
Its a shame looking at the person badala ya kuangalia content ya alichokuwa akiimba.
Otherwise kama ni maadhi ya nyimbo zenyewe/style ya nyimbo za ToT haina tofauti na hizo unazoita mapambio ...its only the content which is different.
Think out of the box mam
 
Alinifurahisha aliposema kama kupimo cha uadilifu ni Kinana basi yeye Sumaye ni mtakatifu......bonge la dongo, bila shaka mzee wa meno ya tembo amejua kabisa lile kombora lilikuwa linatua kwenye himaya husika.
 
Sumaye ni Haki kujibu kumbuka jk jangwani alimsema vipi na makongoro naye alimrushia dongo hivyo tunasuburi makongoro atajibu nini kazi yetu kuchambua pumba na mchele
 
Sikufahamu kuwa mhe. Sumaye ni mzuri hivyo kwenye kuongea na kujibu hoja dhidi yake
 
Ya kuambiwa changanya na ya mbayuwayu na yako.

Nilikuwepo, au hujasikia kuwa Tanzania tulikuwa na life expectancy ya miaka 38 wakati wa Nyerere? Unajuwa Mwinyi na Mkapa waliipandisha ikafika ngapi? Unajuwa Kikwete kaipaisha mpaka wapi?
Kuelezea mafanikio kwa hiyo single measure,life expectancy ni upuuzi....(sishangai sana because ndio elimu CCM walowapa)...kwanza raliabilty ya statistics za kibongo is ,in many areas, put in question....Angalia MDGs...utajua in health tunaangalia nini hasa katika kuzungumzia success in that field....
Na wasiwasi kama unaelewa kinachoendelea katika sekta ya afya...have you ever fallen sick na kwenda huko?
Please please usitie watu hasira....Tuna shida kubwa saana katika sekta ya afya....Elimu ndo usiseme.
 
Ndege ya rais, epa, na mikataba mingi hata mauaji ya muembe chai ni chini ya utawala wa sumaye dah bado mnamuona wa maana

Ni lini Sumaye alikuwa mtawala wa serikali hii mpaka akawa na maamuzi yake binafsi ya kuuwa na hayo yote uliyosema? Sumaye alikuwa mtumwa wa Mkapa. Yaliyotokea yote yalikuwa ni maagizo ya boss wake MKAPA.
 
Sumaye Sumaye the waste Prime Minister ambaye hana accomplishment yeyote to talk about. Hafai kuwa kiongozi HATA WA MTAA.
 
Mungu anamakusudi yake sana, kampumzisha Dr Slaa ili Sumaye achukue nafasi yake

Slaa.na sumaye lugha moja.sifa ya mmbulu anavumila akikuchoka ayajuta.sasa kawavua nguo hadharani
 
Ni lini Sumaye alikuwa mtawala wa serikali hii mpaka akawa na maamuzi yake binafsi ya kuuwa na hayo yote uliyosema? Sumaye alikuwa mtumwa wa Mkapa. Yaliyotokea yote yalikuwa ni maagizo ya boss wake MKAPA.
Mshawai lowassa ni taasisi ni mzee wa propaganda.mlianzisha propaganda ya mafuriko.kusombana Mitaani na mabasi ya Osaka..sisi team magufuli hatuna mengi ya kusema.ukimya wetu ndo silaha.tuonane October 29
 
Back
Top Bottom