Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kwa upande wangu, Mkutano ulifana sana hasa kwa uwingi wa watu, watu walikuwa wengi saana haijawahi kutokea kwenye medani ya Siasa za Tanzania, tatizo nililoliona kwenye ratiba ya UKAWA, muda aliopewa Mgombea Urais ulikuwa ni mdogo sana, otherwise nawapongeza sana.
muda aliopewa lowasa ni mwingi sana. kwa siku za karibuni hakuna mkutano lowasa aliohutubia zaidi ya dkk 24. mfano mkutano wa kutafuta wadhamini pale arusha alihutubia chini ya dkk 8 akiwa chadema na ule wakutangaza nia akiwa ccm alitumia dkk 5 tu. usifikiri walivyofanya walikuwa hawajui.
 
Lowasa anataka kuudhirishia ulimwengu kuwa pesa inaweza kufanya chochote, hajui kuongea na umma, afya yake tatzo bt anataka ingia magogoni
 
Acha uvivu jaribu kushirikisha kichwa chako japo kidogo tu..... Watu wanaenda mikutanoni kusikiliza Sera za wagombea ili wafanye maamuzi vyema... Pale walikuwepo watu wa vyama tofauti kusikiliza Sera za ukawa unfortunately they were so disappointed.
Tulia kaka! Nafikiri haukufikiri sana wakati unajibu maneno yangu. Kama ungefikirisha sana kichwa chako ungeona kuwa nina wakandya wale wanaosema ule umati ni sunami! Hawajui kama walewale waliohudhuria siku ya CCM ni walewale waliohudhuria siku ya Chadema!
 
well said.[/Q

Tujitahd kumpatia kura ili aje kusaidia watanzania,mimi binafsi,mke wanu,baba na mama mkwe,shemeji zangu na wamme zao kura ni kwa LOWASA,Ila mzee wangu kachomoa maana alikuwa katibu wa CCM zama za Nyerere na Mwinyi ila mama ni kwa LOWASA.
 
Lowasa foreva....hutaki kaa pembeni. Kuna watu walikuwa timu lowasa alivyotoka ccm mnanuna hapa....ka vip mfuateni huku kwetu. Sie tumempokea kwa shangwe tunasonga mbele. Hahahahahah
 
Chadema mnatupeleka wapi jamani. Hiv kweli kwa tukio kubwa kama la jana lile mnawapa muda mwingi Akina Hizza, Masha na Sumaye wakati mnajua kabisa Chadema yetu Ina watu makini kama Mnyika J. J na Mwanasheria Lissu..? Pia mnamuachia mda mchache kwa mgombea urais kwa nini..? Mpaka watu wa Ccm wananiuliza mbona wameongea sana watu Ccm na cuf waliohamia Chadema kuliko hata wenyeji wenyewe..?
 
Lowasa foreva....hutaki kaa pembeni. Kuna watu walikuwa timu lowasa alivyotoka ccm mnanuna hapa....ka vip mfuateni huku kwetu. Sie tumempokea kwa shangwe tunasonga mbele. Hahahahahah

Rais asieweza kuongea na umma,katukalisha tokea sa4,tulikua tunasubiri hivyo vitu alivyoahidi juz pale lamada ataviongea jangwan,matokeo yake anatuletea,habar za kuwatoa babu seya,mashekh wa uamsho znz,HUYU JAMAA KWELI ANATUMIA DIGRII YAKE YA SANAA VZUR,kaniuz kwelekweli na kura yangu hapati KAONGEA DK8 PU**************
 
lowasa na team chadema/ukawa ndio mambo yote...hakuna longolongo nyingi....kazi kwa bidii...uwajibikaji lwa bidiii na katiba ya nchi inayokidhi matakwa ya wananchi...hakuna zaidi...lowasa lowasa lowasa!&&&apewe kura zote....
 
wakuu haina ubishi jana pale jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za ukawa, kuna huyu kamanda MH.SUMAYE aligeuka kama moto wa gesi katikati ya mabua ya mahindi kwa jinsi alivyokua akiichanachana ccm, mpaka ccm wakahamua kukata umeme. ni sheeeeedaaaaa
 
nyie jifanyanyeni machizi mnaona ila hamna macho lowasa mgojwa jamani au mnamtaka kumuua msije tu m kasema amerogwa
 
Makamanda wa ukawa ni sheeeda sumaye bana dahhh ukawa ni mpango wa mungu.
 
Mungu anamakusudi yake sana, kampumzisha Dr Slaa ili Sumaye achukue nafasi yake

Ila mjifunze kuwa na misimamo, Sumaye hajui Sera za chama chake kipya anajua zaidi alipotoka na aliowaacha huko CCM. Watanzania hawataki mbwembwe wanataka maendeleo, wanaua upinzani wametoka CCM na ugomvi wamehamishia CCM. Tarehe 26 Oct tuonane humu JF
 
ila mjifunze kuwa na misimamo, sumaye hajui sera za chama chake kipya anajua zaidi alipotoka na aliowaacha huko ccm. Watanzania hawataki mbwembwe wanataka maendeleo, wanaua upinzani wametoka ccm na ugomvi wamehamishia ccm. Tarehe 26 oct tuonane humu jf

rip. Ccm
 
Back
Top Bottom