Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ni lini Sumaye alikuwa mtawala wa serikali hii mpaka akawa na maamuzi yake binafsi ya kuuwa na hayo yote uliyosema? Sumaye alikuwa mtumwa wa Mkapa. Yaliyotokea yote yalikuwa ni maagizo ya boss wake MKAPA.
Mshaambiwa lowassa ni taasisi ni mzee wa propaganda.mlianzisha propaganda ya mafuriko.kusombana Mitaani na mabasi ya Osaka..sisi team magufuli hatuna mengi ya kusema.ukimya wetu ndo silaha.tuonane October 29
 
Wewe ni kiazi..
Sumaye na wewe nani ni smart...?!
Yeye alimaliza terms zote 2 za uwaziri Mkuu chini ya Mkapa mnayemsifia kulipa madeni na kuimarisha uchumi... Sasa kuhamia UKAWA keshageuka kuwa hafai tena...?!

Hovyoooooo......

Huyo siyo kiazi tu bali ni kiazi maotea! Ovyooo kabisa
 
wakuu haina ubishi jana pale jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za ukawa, kuna huyu kamanda MH.SUMAYE aligeuka kama moto wa gesi katikati ya mabua ya mahindi kwa jinsi alivyokua akiichanachana ccm, mpaka ccm wakahamua kukata umeme. ni sheeeeedaaaaa

Mwanaume acha uzandiki, leo unamshabikia hata MR. ZIRO! poleni sana ukawa.
 
Edward Lowassa(11:41): Peoples, Bwana Yesu asifiwe, tumsifie yesu Kristo, kuna tatizo kidogo muda umeenda wasije kupata sababu... Hotuba ipo kwenye maandishi, kwenye tovuti ya chama.

Niwashukuru waliopita kwa kunisemea, niliahidi kampeni safi lakini wameanza lakini wakianza ndio hivyo watavyopata. Kipengele cha kwanza elimu, cha pili elimu na cha tatu elimu. Maneno haya nimeyaazima kwa waziri mkuu wa Uingereza. Cha kwanza elimu itakuwa gharama ya serikali kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu. Eneo la pili la kilimo ili tuweze kutengeneza ajira za kutosha.

Tatu tumeweka umuhimu sana kwenye afya iwe bora kwa akina mama na watoto wadogo. Wanokwenda nje ya nchi ni watu wakubwa, eneo jingine ni mawasiliano, ni muhimu sana tuwekeze. Kwa hio jambo la kwanza nitakalofanya ni kujenga upya reli ya kati iende Kigoma na Mwanza. Tutafufua Air Tanzania, nisme mambo matatu ya mwisho.

Mashehe wa Zanzibar wako jela muda mrefu sasa, nasikia habari ya babu Seya, nimeisikia. Naelewa hisia zenu kuhusu babu Seya, Tutatumia utawala bora kuwatoa muda ukifika.

Kuna bango hapa, mzee ukifika Ikulu tuletee Balali, ana pesa zetu huto, nimewasikia. Nakumbushwa hapa, katika vipaumbele vya ilani, kipo maji vijijini na vyuo vya ufundi lakini nimalizie kwa kuwaomba, naomba kura, hebu watakaonipatia kura wanyooshe mkono. Watu wanasema hivi, kura tutapata nyingi sana lakini zitaibiwa, kwahiyo, Rais peke yake haitoshi, ni kuhakikisha mtaenda kupiga kura. Lakini nimeulizwa na rafiki yangu mmoja, kwanini sijaenda mikoani bado, nakwenda kwenye daladala, nakwenda wapi. Nimebaki hapa Dar es Salaam maana hapa ni .. group, naomba watu wa Dar es Salaam mnitafutie kura kwa watu wa bara, kwa mke wako, kwa mume wako, kwa rafiki yako ili hata wakiiba, wataiba nyingi lakini zitabaki nyingi za kutosha kutushindisha.

Nimalizie, ninawashukuru sana kwa mapokezi, haijapata kutokea hata mkutano wa wakubwa zetu wa CCM, hongereni sana, nimependa mapenzi yenu, rafiki yango mmoja mzanzibar aliniambia, haya si mapenzi, ni mahaba lakini nawaomba mahaba haya yaonekane katika sanduku la kura. Ndugu zangu ninawashukuru sana kwa kunisikiliza.
Eeeh Mola wahurumie waja wako wasipatwe na janga hili... Hili ni janga...
 
Na MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Kuna watu wazima na akili zao na jamii inawaheshimu eti wanalalamika mbona Lowassa hakuongea sana, mmeambiwa Lowassa anagombea nafasi ya u-MC wa harusi?

Eti afya yake inatia shaka, angekuwa anataka kuwa security wa night club ni sawa lakini kwa nafasi ya uraisi Lowassa anatosha sana.

Nchi yetu imefika hapa kwasababu ya hao watu wanaoongea sana.

Raisi ni mtu ambaye anatakiwa kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri, mtu mwenye vision, mtu wa kupanga timu nzuri na aweze kuisimamia, mtu mwenye kuweza kufanya maamuzi. Hivyo vigezo kwamba raisi awe muongeaji labda raisi wa CCM.

Kwa nchi yetu hapa ilipofika inahitaji mtendaji na sio muongeaji. Mtu muongeaji wa nini.? kwani Ikulu anaenda kupiga story? Kama kuongea ni sifa ya uraisi basi hata Mpoki angekuwa raisi
 
Last edited by a moderator:
Watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! maajabu haya sijui yataisha lini

Unauhakika ni WABAKAJI?????????????????????????Mbona yule MBUNGE wa CCM Prof.Kapuya amebaka binti wa miaka 16 hajafungwa yuko huru hadi leo?????Au ukiwa mbunge haufungwi????????????????????????????Poor CCM
 
Back
Top Bottom