Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

11951578_10203374566884977_1027959452271604933_o.jpg

11950178_10203374567724998_5369675689659685715_o.jpg
mabadilikooo....Lowasssaaaaa
 
Nimesimama karibu na afande mmoja hapa Jangwani anasema hii haijawahi tokea na anakiri Safari hii CCM hawaponi .nashukuru amenipa Sana moyo Kuwa mpaka 25 October tutapigwa sana mabomu lakini hatimaye tutashinda.Nimemshukuru na nimempa Buku tano anywe angalau maji maana anaonekana mchovu sana kwa kukosa usingizi
hahahaha mkuu umeua
 
LOWASA! LOWASA! LOWASA!!!
i) Post nyingi za wanaccm Facebook
zinamzungumzia Lowasa!
ii) Post nyingi za wanaUKAWA Facebook
zinamzungumzia Lowasa!
iii) Post nyingi za wanaACT Facebook
zinamzungumzia Lowasa
iv) Magroup mengi ya siasa whatsaap
yanamzungumzia Lowasa muda mwingi!
v) Twitter tweets nyingi zinamzungumzia
Lowasa
vi) Viongozi wa kubwa wa vyama mbalimbali
vya siasa wameacha kunadi Sera zao
wamekalia Lowasa!
vii) Viongozi wa serikali wameacha ofisi zao
wapo Ngurudoto kuzungumza juu ya Lowasa
viii) Thread nyingi za Jamii forum
zinamzungumzia Lowasa!
ix) Magazeti Mengi habari zenye uzito ni
Lowasa!
x) Redio na tv ni Lowasa
xi) Ukirudi mitaani kila mtu haongei maneno
matatu bila kumtaja Lowasa!
xii) Mtanzania wa leo hapati usingizi mpaka
ataje Lowasa!
xiii) Watu kabla hata ya kupiga mswaki
asubuhi wanaamkia Lowasa!
HITIMISHO!!!
TUKUBALIANE TU KUWA LOWASA NI HABARI
YA MJINI!!!!

Pole sana mkuu, habari ya mjini au habari ya monduli?
 
CCM hawashindi, achana na hizo porojo za wizi wa kura.
Kwa maana hiyo hii nchi itatawaliwa na CCM milele?
Piga kura yako kwa Lowassa, ushindi ni wa uhakika.
Endelea kuzungusha mikono
 
Back
Top Bottom