UKAWA wajanja sana, wanawapiga CCM na kitu inaitwa Tangulia Naja, yaani unatangulizwa kama chambo bila kujua halafu watu wanakuja nyuma kimya kimya wanamaliza biashara.
CCM walitangulizwa jangwani, mara UKAWA wakaja na kumaliza biashara, wakatangulizwa Iringa, mara UKAWA wakaenda jana wakafunga mji. Hata siku ya UKAWA kutangazwa mshindi, CCM watipigwa hivi hivi yaani Tangulia Naja