DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Na kupania kote kule...sijaona tofauti
Hizo ni ndito za alinacha. Huijuwi CCM, unaisikia tu.
![]()
Njombe
Kiukweli amemthibitishia beyond reasonable doubt bosi wake Mkapa kuwa yeye siyo mpumbavu na lofa kama alivyodai Ben kwenye mkutano wa CCM wiki iliyopita wa mgombea wao wa CCM John Pombe Magufuli, kuwa kila anayetoka CCM na kuingia upinzani ni kapi, oil chafu na MPUMBAVU na LOFA.Waziri mkuu mstaahafu Fredrick Sumaye ndiye alikuwa kivutio kikubwa katika kampeni za mgombea uraisi kwa tiketi ya vyama vinavyounda umoja wa katiba UKAWA.Mheshimiwa Sumaye kila alichokisema wananchi walikuwa wakimshangilia na kumpigia makofi kwani alidhiirisha ccm imechokwa na wananchi.Jambo alilofurahisha pale aliposema na kumtetea raisi wa awamu ya tano kutoka ukawa Eduard Ngoyayi Lowassa kwamba mtu mzima unapofikia umri wa miaka ( 50) maradhi kukupata ni jambo la kawada.Akasema mbona wao wanatibiwa ulaya watu hawawasemi wakirudi wanakuta nchi iko salama?? shangwe zililipuka hadi raha,Mh.Sumaye aliendelea kusema waliotafuna escrow Lowassa alikuwepoo?? mambo mengi aliyasema huku watu wakimshangilia kiukweli aliinogesha kampeni ya ukawa.
Ha ha haa! Nyomi ya leo imewachanganya wengi
mafuriko ya Magufuli Jangwani yawa kama kidimbwi!
![]()
Hii sasa balaa, lazima magamba yaweweseke!
![]()
Eti Ku Klux Klan, naona Tsunami imesomba wengi.
Hivi wewe mdada Simiyu yetu wawezaje kuja toka Pemba na kuja Dar kwa gari?Ungeona magari yaliyoleta watu toka mikoa yote ya karibu pamoja na pemba usingebetua mdomo wako kuongea ubwabwa bibie.
Ina maana wewe unaungana na gamba mwenzio JK aliyesema kuwa umati ambao huwa unarushwa na vyombo vya habari na mitandaoni kuonyesha kuwa ni wafuasi wa Ukawa huwa zinakuwa ni picha za kuungaunga?Na kupania kote kule...sijaona tofauti
Hivi Simiyu yetu wawezaje kuja toka Pemba na kuja Dar kwa gari?
Tunaomba utujuze au pengine yapo magari ya kisasa yaliyoundwa katika design ya boti ambapo yaweza kukatiza ndani ya bahari!
Ungeona magari yaliyoleta watu toka mikoa yote ya karibu pamoja na pemba usingebetua mdomo wako kuongea ubwabwa bibie.
Kwa hiyo na sisi tumekodi UDA, FUSO, LORI na MATINGATINGA kama wale wenzetu?
View attachment 281659 View attachment 281660 View attachment 281662
We unasema nini kwani hata huyu Lowasa unadhani yeye na ukoo wake wakiugua wanatibiwa wapi. Hjko huko. Unadhani kutakuwa na tofauti. Usijidanganye wewe. Lowasa ana itikadi za ccm mpaka kufa. Hawezi ziacha.
JK bana...........................Kikwete atasema imetengenezwa!!cjui wale wanaompelekea taarifa wanamdanganya
Adui mkubwa kwangu namba moja ccm
Polepole alisema magufuri ameenda ulaya mara 4 tu katika kipindi cha miaka 10.....wakati sumaye kasema magufuri anaenda ulaya kila mwezi.