Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

11954554_10207379306541317_5007881366273801368_n.jpg
 
Hapo kwenye mgawo wa pesa za ESCROW

Alisema waliochukuwa mgawo wa pesa za ESCROW wa Rugemalira through mkombozi tunawafahamu.

Lakini wale waliochukua mgawo mkubwa wa pesa za ESCROW za Habidier Singh through Barclays Bank, ambao walibeba pesa kwa viroba na lumbesa hadi leo hatuwafahamu.

Hivi ni nani anaweza kuchukua mgawo huo, ambao BoT inaogopa kuifunga na kuifilisi Barclays Bank kwa kukiuka kanuni za kuendesha mabank nchini?

Wenye akili tumefahamu ni nani alichukua mgawo ya Habidier Sigh anayeogopwa na BoT!
 
Tunawatakiwa safari njema kurudi kwenu Arusha, Moshi, Manyala, Monduli ila kura tutapiga wenyewe asante sana kwa kuja ktk mkutano.

Lofa mkubwa wewe..unadhani hii ccm mnayobeba watu kwenye malori
 
Tuko pamoja wana mabadiliko,tambua magreat thinker ni maphilosopher hatudanganyiki mwaka huu,kwenye kumi na nane zetu ccm lazima ikae itake isitake
 
simuoni Dk Slaa wala Lipumba!watu wanataka kusikiliza Sera na Ilani badale yake wanahubiri taarabu kwa KIKWETE!kampeni za kuchafuana bado zinaendelea Ukawa

Magamba mtakoma! Sera ya ukawa tunaijua! Hapa ni kutimiza wajibu tu pamoja na shamra shamra! Nenda kasikilize magupuli!
 
Kila rekodi wanayodai kuiweka CCM, UKAWA wanakuja wanaivunjilia mbali. Ilianzia kwenye kuchukua fomu, ikaja kutafuta wadhamini na sasa kwenye uzinduzi. Sasa wasubiri UKAWA watakapoanza kuzifuta nyayo zao kila walipokanyaga. Safari hii wagombea ubunge tu wanatosha kuzifuta nyayo za Magufuli na kila komeo litafunguliwa. Kaazi kweli kweli.
 
nazidi kukosa imani na CHADEMA kadri mda unavyoyoyoma bila kumuona huyu Dr

Nenda nyumbani kwake ukamsaidie kazi mke wake Josephina! Nani alikuambia Slaa anaishi jangwani? Ulishaambiwa rasmi Slaa anapumzika, ulitegemea kuwa anapumzikia jangwani?
 
Chaguweni hata pakacha, mko huru. Lakini kumbuka Ku Klux Klan Tanzania hawatatawala.

Ha ha haa! Nyomi ya leo imewachanganya wengi
mafuriko ya Magufuli Jangwani yawa kama kidimbwi!

attachment.php


Hii sasa balaa, lazima magamba yaweweseke!

attachment.php


Eti Ku Klux Klan, naona Tsunami imesomba wengi.
​
 
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyosemwa na Lowassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.


11951204_1068783333154019_992321555451370143_n.jpg





 
Back
Top Bottom