Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?
Watanzania tufanye kweli mwaka huu, vinginevyo itachukua miaka 20 ijayo kuitoa ccm, wakati ni huu
CCM wanaendelea kujitoa ufahamu. Eti sasa wanajifanya Lowassa ndiye aliyekuwa kikwazo kilichosababisha washindwe kuwatumikia wananchi.
system ya CCM imefeli. Ndio maana mpaka kipindi hiki cha kampeni nchi iko gizani. Umeme hata wa kuwadanganyia wananchi hakuna!!!
Na haidi kuama hii nchi lowasa akiwa raisi
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
Naona Oct inachelewa!Kwenye familia yangu ni baba tu amebaki ccm,tena naye alikuwa kwa lowasa kipindi yuko ccm!Ila navyomuona mafuriko hayawezi kumwacha,atasombwa nayo!
So nina kura 5 toka kwa familia na moja haina uhakika ambayo ni ya mzee,kama kijana popote hakikisha unatumia muda huu kuwashawishi walio karibu nawe wafanye mabadiliko!
Kwa pamoja tunaweza!
Mkuu umesema umeishatinga magwanda unaelekea jangwani mdau mmoja akauiliza umerudi lini Tanzania?Sijawahi ona nyomi kama hiili.....