Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
chanel gan wanalusha live
Ushindi ni wetu wana CCM hata kwa goli la mkono sisi hakuna nyomi wala nini Mungu ibariki CCM Mungu mbariki rais wetu Magufuli
Same qsn nilitaka kuuliza!Umerejea lini Tanzania.
Ukweli ni kwamba pamezubaa sana, pamepooza! Na kuna poor coordination, saa saba hii watu bado sio wengi, niko hapa ngoja niwatumie picha
Sijawahi ona nyomi kama hiili.....
Hivi mvua iliyotangazwa inatoka kwa Mungu au Lumumba?
kinachoondolewa ni CCM wanaumia ACTMkuu umesema umeishatinga magwanda unaelekea jangwani mdau mmoja akauiliza umerudi lini Tanzania?
Yale mabasi ya Osaka yamefika salama jangwani?