Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hayo maneno ya kutakaswa sijui mungu kafanya nini acheni msifien lowasa kwa kila aina ya meneno lakin msilete udini mtaharibu vijana wenzangu
 
yote hii ni kwa sababu watu wanataka mabadiliko, wamechoshwa na CCM
 
Inawezekana mimba yako ilipatikana guest house.jitu zima linaropoka kinyesi tu hiyo jangwani ya wapi uliyopo gamba wee!

we firauni wahedi, pumbavu lofa mkubwa wewe,dude liku mkarama huko linajifanya liko dar, ......utakuwa na minyoo ya manguruwe, liangalie lilivyokomazwa na ugumu wake magumu, mchawi wewe
 
Tupe updates kila baada ya dk 30. Huku tulipo tbc aka shem wa ccm wanamnadi tu Makufuli yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…