Yaani hii si gharika nafikiri ni tsunami
Kuna mtu kapoteza buku, ndo tunatafuta kwanza
Mi nimeenda pale asubuhi saa nne watu walikuwa wengi sana
Anakutosha wewe na familia yako, mmemuweka ili alinde ufisadi wenu eehh?
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.