Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015


Hatuishi kwa mambo yaliyopita. Wewe utakuwa mjinga sana kwa kuishi kwa kukariri. Miaka 54 madarakani maendeleo hakuna! Wenye akili zao timamu wameshajikomboa bado wewe Zombie!? Pole saaaana
 
ITV, STAR TV, etc ni maqumar. Kwann wasioneshe....!!! Hapa Azzam 2 inazingua
 

Hizi picha mbona ndo zilezile za wakati wa kwenda kuchukua fomu
 

Katika tamaa za kutafuta kuingia ikulu bila mikakati halisi, tarehe 25 oktoba yaweza kuwa ni chinjio la upinzani ambao ulianza kuimarika. Bado tuna safari ndefu sana na siasa za mihemko kuliko ufahamu
 
nimeshindwa kuelewa level ya uelewa wako. Ivi jangwani ndio panamaliza ubishi au kwenye box la kura? Uwanjani sio kipimo bali kipimo ni kwenye box la kura.

Mtashangaana tarehe 30/10/2015 matokeo yakitangazwa

Ndio kawaida Yao hivi wameshapiga kura hapo usiwastue Waache walale
 
Geita vijijini wamekata umeme...tupen update na mtuambie kama watu wamesobwa na maroli au...gg
 
Huwa hatuwajibu ccm,sisi tunawajibu malofa na walalahoi!Uzi wako umekaa kishabiki,ungeuweka vema ungejibiwa so tuondolee uchafu wako halo!
Mara zote tumekuona uelekeo wako humu jf halafu unataka kukana wewe sio ccm!
Lowasa ndio chaguo letu!
 
Wadau tunaomba mtupatie updates za Jangwani. Huku A town wameshakata umeme ilipofika saa 8 mchana.
 
Mashindano yao hayana maana kwasababu baada ya leo tutaanza kujua sera zao ni zipi na kama mgombea binafsi Lowasaa ataweza kusimamia Sera za CDM ama zake mwenyewe kwani kila upande hapo una ideology zake tofauti na nyingine
 
Reactions: nao
Asante kwa taarifa nawe njoo uku jangwani nikulipe kwa kazi unayoifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…