Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ninaona leo Dar usafiri ni wa shida sana, hadi watu wanatumia kila liwezekanalo wafike jangwani.

BtW,wewe umelipwa shilingi ngapi?

UKaWA nao wana hela za escrow au nao wanachukua fedha hazina? Funguka zaidi ingawa unamaumivu!.
 
tunategemea mgombea urais MH LOWASSA amwage sera tumsikie na tumuelewe na ikiwezekana ateremke na ushahidi wa mamlaka za juu na sio blablah tu.... pipooooooooooz/////
 

Una hoja ya msingi sana. Tena katika hilo la katiba tuko pamoja. Lakini kusema kuwa Lowassa atasimamia katiba mpya ni kujidanganya. Hii sio mojawapo ya sababu za kujitoa CCM. Tena kufuatia mwenendo wake akijiandaa kaingia ikulu amekuwa akihusishwa na masuala mengi yanayokwenda kinyume na misingi hiyo ya katiba.

Kubwa zaidi ni kuwa, atakapoingia ikulu, ukawa hautakuwa tena na mamlaka juu yake. Ataamua yeye kama awasikilize ama la. Lowassa ni taasisi
 
Last edited by a moderator:

watakua wameteneza ccm,kwani ngombale mwilu yuko kambi gani vile?
 
aliyeanzisha huu uzi kaingia mitini,hata siku ile ya lowasa kukaribishwa ukawa alifanya hivi hivi,no updates!..anatumiwa huyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…