Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Acha watu wafanye yao kila chama na mifumo yake ndo mana serkali ikatoa rudhuku kwa vyama vya siasa kwa ajili ya kampeni we ulitaka hiyo ila upewe wewe?
 
Mi sioni ajabu, acha waende kwani ni haki yao hata kama watatoka Geita waache waende..
 
Kujaza watu hakumaanishi wote wanakuunga mkono , Kuna watu walikuwepo kwa CCM na leo wapo kwa Ukawa , watu wamekwenda kusikiliza SERA siyo kupiga kura za wazi za ndio

By the way hatuna utamaduni wa kutoka out ndiyo outing zetu hizo Wabongo ,mi mwenyewe hapa nafunga ofisi naelekea but kumoyo kura ya Ndiyo kwa Pombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Haya maneno hayafai kutoka kinywani mwa GT
 

yote hyo ni kuweweseka tu!
 
Watu wamekodi wenyewe usafiri wanao ona ni bora kwao
 
Iringa wamerudisha Umeme, Itv wapo live. Police msitupige mabomu CHADEMA ni serikali ijayo.
 
Makamanda mbona leo mafuriko hayapo?daaah nafuatilia hapa nafuatilia naona watu wachache sana.
 

Magamba kazi mnayo!! Hamia huku bado tutakupokea bila kujali upeo wako wa maccm
 
update: 14:37
ndo kwanza wapo nje ya muda saiz ITV wameanza sasa, clouds tv bdo, azam tv zote bdo. au tatizo ni umeme huko Jangwani?
 
Maajabu, huyo mwenye nywele nyingi kama Wema vile!
 
nawajua aunt na shamsa tu....hao wengine ni kina nani?
 
WASUKUMA WANGESEMA WATASHEN`GWA(MWA) kama sikosei! ccm watajua kiburi chao kitakoma hakika. chamsingi ni kuiua hii ccm kama ambavyo makufuli anavyoogopa isife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…