jamani hii ndio nini? mimi ccm lakini kwa tabia hii si wezi namwogopa Mungu, kuunga mkono ccm kwa sasani waoneziUMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...
Wachache wakati mtangazaji amesema uwanja hautoshi itabidi wengine waishie barabarani? ni tsunami sio mafurikoMakamanda mbona leo mafuriko hayapo?daaah nafuatilia hapa nafuatilia naona watu wachache sana.
Kazi ya kusombelea nyumbu jangwani imeenda vizuri
Kamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...Sisi huku Katavi ndiyo tumeunganishwa na Uwanja wa Jangwani kupitia ITV; jenrereta inaunguruma kama kazi, tumeshatumia lita 20 bado zingine 55 zipo. Leo ni kusikiliza hoja tu toka UKAWA ili tulinganishe na CCM halafu tuchukue uamuzi sahihi.
Eeh leo sindono ndo itakuingia vzr ...karibu jangwani(ukawa)
wewe kaangalie ya kwenu huko mbeya, haya hayakuhusu au uje upige picha umpelekee mkulu asijesema ni za kutengeneza.Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Wachache wakati mtangazaji amesema uwanja hautoshi itabidi wengine waishie barabarani? ni tsunami sio mafuriko
ata wolper umemsahau....