Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Viongozi ndio wanaingia. Sijui Slaa yupo ndani Leo.
 

Haya hayana nafasi kwa siku ya leo
 
Ila moderators wafahamu tunakosa haki ya msingi ya kuingia kwenye huu mtandao. Hawaoni hili tatizo??
Moderetar wamefanya ujinga kuna mkuu wa makao kaanzisha Uzi lkn Leo umepotea
 
Team ya mapokezi wameambiwa wajiandae sasa kupokea viongozi. Na watenge eneo la kupaki magari yao. Kazi imeanza.
 

Uzi wa TandaleOne ulianzishwa tokea saa 12 asubuhi lakini umeondoshwa na kuletwa wa huyo magazeti sijui kitu gani kimesababisha
 
Last edited by a moderator:
hakika nami nasubiri kujibiwa haya ndugu ulioolozesha wametufanya sisi makolo kwa kututangazia lowassa fisadi leo msafi maana yuko kwao sisi si malofa kama walivyo wao....
 
JK aambiwa achukue chopa apite juu ya jangwani!
 
Yaani dunia mzima imesimama kusikia tukio la kihistoria jamani asante nyerere kumlea mkombozi wa tz 2015
 
Uzi wa leo wa kipuuzi sana. Hata picha za hao wasanii hatuzioni!!
 
Jamaa asema 'malofa na rais wa malofa ana watu kuliko magufuli' mkutanoni...ngoja wajikaange hahaa.
 
hahaaaaa rais wa malofa yupo na malofaaaa wenzakeeee pipoooooooz
 
MC uwanjani anamwambia JK achuke helikopta aje aaangalie kama alikuwa anadangaywa kuwa picha zinatengezwa basi aje aone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…