Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,079
- 313
Ni kwa sababu tulitarajia kizazi kipya kiwe mstari wa mbele kupigania mabadiliko kwa faida yacho na vingine vijavyo. Fikira mgando tuachieni sisi vijana wa zamani.Chadema acheni unafiki wolper kavaa gwanda mnasema anajitambua,,Wema akivaa kijani hajitambui...acheni ulofa nyinyi
Chadema acheni unafiki wolper kavaa gwanda mnasema anajitambua,,Wema akivaa kijani hajitambui...acheni ulofa nyinyi
watauza sura sana mwakahuu.....
hivi huyo wolper ana mme au bado?.......
Kaingia msagasumu
Ajabu sana kuona binadamu mwenye macho na hali tulionayo anaipenda ccmKamanda mnatumia jenereta au Injini ya Greda.,maana hata dakika ishirini hazijaisha tayari mmekata lita 20...Uongo mwingine muupake rangi kidogo Dah...
jamaji picha picha pls
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Hivi ni kwanini hizi nyuzi za ukawa huwa network inasumbua hivi?ni kwamba kunakuwa na users wengi au?inakera sana.Jamiiforums rekebisheni hili cc Invisible
Mpk inakera mkuu, hakuna picha za maana ni mabishano, watu tunataka kuona hilo gharika.