Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Huyu jamaa magazeti ni kada wa ccm katupiga bao la mkono.
swissme
Wanachakachua hata vyombo vya kutangazia,halafu ndio tuwape nchi,hivyo vyombo vimetoka kwa mangi maadamu ni mambo ya ukanda wa kaskazini.
vipi, kamanda slaa atakuwepo? au umeweka tu kuwafuraisha wana jambi?Generator yetu ni aina ya Honda, na lita 20 zilivyotumika mbona kuna maelezo. Tumewasha tangu saa nne kuwapa majirani muda wa kusikiliza video ya hotuba ya Mwl Nyerere ya mwaka 1995 (Kilimanjarop Hotel) yenye kuongelea Uzanzibara na Uzanzibari halafu tukaangalia video ya Mwl Nyere ya mwaka 1995 ktk Mkutano Mkuu wa CCM yenye kuongelea Watu wanataka Mabadiliko. Vile vile watu wamesikiliza na kuona cliup za uzinduzi wa CCM na kuwasikiliza Makongoro, Warioba, Shein, Mkapa, Kikete na Mgombea. Yaani watu nilionao hapa wamepata elimu ya uraia tosha sasa wanasubiri hotuba ya Mbowe, Maalim Seif, Slaa, Makaidi, Mbatia, Lisu, Duni na Lowasaa ili wachuje mbichi na zilizoiva.
tatizo pia ni Mods kujinyakulia uzi.Mkuu Standalone alianzisha uzi hapa toka sa6 uck.akaahidi Makamanda watatoa updates.Mods wamefuta wakaleta wakwao.upo uwezekano updates zipo katikati humuTumaini Makene yupo wapi...mbona huu uzi ni wakijinga tu sioni update jamani....
MC uwanjani anamwambia JK achuke helikopta aje aaangalie kama alikuwa anadangaywa kuwa picha zinatengezwa basi aje aone.
Polepole unajifunza nini? akili yako inazidi akili za watu waliopo Jangwani? Basi mimi naona Baki peke yako na Ufahamu wakoAjabu sana kuona binadamu mwenye macho na hali tulionayo anaipenda ccm
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani. Kampeni hizi zitaungwa mkono na umoja wa vyama vilivyo chini ya UKAWA vinavyojumuisha NLD, NCCR na CUF.Kwa sasa ni burudani kwa wasanii mbalimbali kutumbuiza na kwa sasa aliemaliza kuimba ni Singo na anaefata ni Juma Nature akiwa na msaga sumu.
Tuwe pamoja hapa (kwenye hii thread) kujuzana yatakayojiri kwenye kampeni za leo.
9:18 Mchana: Kilichopo kwa sasa bado ni burudani na Sasa inatumbuiza bendi
Mama mdogo ccm ahadi zao ni hewa miaka yote madini yameisha gesi ndiyo wanaililia waimalize ndiyo waachie nchi vivutio vya utalii kama tembo wamezing'oa meno bila ganzi hadi wameamua kuzaa bila meno tena twiga wanakunjwa hadi wanaingia kwenye sanduku na unaweza kukutana na kiongozi wa ccm amebeba begi kumbe ni twiga wewe kama Una kitu chako kikubwa Kama twiga usihangaike mwite hata balozi was ccm ataikunja mpaka itaenea hata kwenye pochi make hayo mafunzo ya ujangili wanayo nakushauri achana na hao wanakumaliza mdogo mdogo.