Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Hapo kwenye nyekundu mkuu umeongea wewe au amekupenyezea mtu hayo maneno? Au ndo mihemko wa mkutano wa leo hao bodaboda wenyewe hawakujiandikisha.
 
Nipo hapa jangwani sasa, MC wa shuguli kubwa kama hii kupiga makelele, ni ajabu sanaaa ni kamanda makini ila anapiga makelele sanaaa, yani huku kati atusiki vizuri.

Fanyieni kazi haraka watu wengi wanasema.

People's powerrrr

Kimsingi wachaga huwa hawana kipaji cha MC, lakini basi kwa sababu ya aina ya siasa inabidi awe
 
mbona hata hawatofautiani na siku zingine?????.
idadi ni ileile
 
Magazetini weka japo kapicha kamoja.....watashtuka.

Mkutano wa UKAWA mtoa update mwana CCM....kweli Tanzania nchi ya Aman
 

Picha za awali Jangwani jijini Dar pageuka mafuriko, hii ndio hali halisi ya uzinduzi wa kampeni kwa WANAUKAWA kumnadi Lowasa Urais Jamhuri ya Muungano, Sharif Hammad Urais Tanzania visiwani, wagombea ubunge na udiwani.
 
Kama admin hataki kusikiliza maoni/malalamika yetu dawa ni kuanzisha au kuhamia blog/forrums zingine. Ikibidi hata facebook.

hamna haja ya kuhamia kokote

banana nao hapa hapa na uwaeleze ukweli

tuwakumbuke tu majina yao .... na tuwaambie na watoto wetu wajue siku ya kulipiza kisasi ikifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…