Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

hii gharika haizuiliki! Lowasa lazma apewe urais tujikumbushe irani mwaka 1978 mafuriko kama haya yalitokea, serikali iliyoondolewa madarakan walitumia mpaka vifaru nguvu ilishinda kwa kishindo, kaen mkao wa mabadiliko watanzania lowasa apewe nchi makufuli tumwandae kwa ajil ya cku za mbele sana anajifunza ajipange tena
 
Acha Unafiki Mleta Mada
Sasa Unahaha Nini Sikiliza Nini Ukawa Imekuketea
Unadhani Huyo Slaa Pekee Ndiyo Chama
 

Wenye akili wamemwama lowasa, chama sio lowasa ni cha watanzania. Lowasa mgombea binafsi. Chadema hata ikijipangaje mgombea wake ni feki.
 
Tusubiri muda haujaisha, labda Dr. Atakuja na wabunge 30 wa CCM nao watajitokeza.
 

Endelea kuweweseka na Dr slaa,ukawa wanapasua anga na kuelekea ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…