picha zote zinapatikana hapa chini
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...-kampeni-za-uraisi-ukawa-kupitia-chadema.html
Mkuu mimi sijaona picha yake hapo jangwani. Hivi Lowassa hapigwi picha siku hizi?yaaani bigup mshumbusi hivi huyu mama regina anajua kuwa mumewe mgojwa naye alafu naye anafumbia macho kama wengine leo lowasa akisimam japo nusu saa ntampa kura yangu
Heee, yamekuwa hayo tena? Si mlisema wenyewe Kipenzi cha wengi, Dr Slaa angekuwepo? Watu wengi tumejitokeza kumiona Slaa na wabunge 30 wa CCM wanaoachia ngazi, mmeniudhi sasa naondoka.
Lowassa kuhutubia muda mfupi. Eti kisa muda mfupi. Kwikwiikwiii