Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Mbatia anasema lowassa kasomea degree ya pili ya maendeleo uk..ataleta maendeleo
 
Clouds hamuwatendei haki mabosi wenu waliowalipa
Matangazo ya biashara ya nini
Wakati mpo live mkutanoni?
 
mods wa hii forum walianza huu upuuzi mwaka 2010

waanzilishi wa forum MIke na Max siku hizi ndo hawajali kabisa. Note kuwa Mike ni swahiba mkubwa wa JK

Usisahau pia kuwa Lemutuz anajigamba kuwa anamiliki percent fulani ya hii forum

go figure

Lemutuz usimtaje hapa kabisa uzi utaingia shombo. Huyo hata magari ya Davis Mosha anaweza sema ya kwake.
 
Ukawa wanataka jifanya wema wakati walaghai wakubwa waliongea,
ccm imetumia wasanii na wao Leo wanao
Wakasema CCM wametumia malori na coaster na wao hivyo hvyo.
Sasa wakiitwa CCM B watakataa?
 

Attachments

  • 1440855889648.jpg
    34.1 KB · Views: 314
  • 1440855925177.jpg
    19.5 KB · Views: 294
mbona watu hawana tofauti na siku zingine?....

bado dakika 55 mkutano uishe..
 
Dozi aliyotowa Mkapa imewaingia wapumbavu na malofa, toka siku aliyogawa hiyo dozi sijasikia JF mpaka leo Jangwani neno "ukombozi".

Wamerudi kwa Magufuli na kunadi "mabadiliko" aliyoyanda Magufuli siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM.

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…