Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hii inaitwa jaza nyomi style yani mmewakalisha watu miguu imenyooka mbele ili kujaza uwanja hahaa yani pamoja na kusomba kokoto bado haijasaidia...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1440856017.928950.jpg
    21.3 KB · Views: 286
Mbowe anasema mabadiliko ni maisha mapya ya ustawi kwa watanzania
 

Hata asipohutubia sisi hatuna shida,tutampa kura
 

We mwanamke acha uongo,lowasa wakati anajiunga ukawa,Hotuba yake ya kwanza alizungumza anataka kuleta mabadiliko kupitia CDM/UKAWA
 

Kweli ata mi sijalisikia neno "Ukombozi"....
 
Kuna maslahi kwako kwa magufuli na ccm eanekunyima mahkama ya kadhi na wamekudhalilishia mashekh wako mpka wamelawitia au umesahau tyr

Kwani huyo Lowasa na Sumaye na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Masha kahamia lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…