Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Magoya hayo, kuku keshaliwa na wajanja akina mbowe yamebaki Magoya yanapeperuka ovyo tena kila upande.
 
Hebu cheki post #39
 
Umeandika nini? ulitaka watu waende jangwani kwa mguu???
 
Hakuna jinsi Watanzania wanataka mabadiliko.

Haijalishi atakae zuia jambo hili.

Hata Shetani akiwa upande wa watanzania wapenda mabadiliko watanzania wapo tayari kushirikiana nao.

Lakini mabadiliko haya ni sahihi?
Nina wasiwasi kwamba watu wanahamu ya mabadiliko lakini hawajui mwisho wao bado hawajui!.
 
Kuna maslahi kwako kwa magufuli na ccm eanekunyima mahkama ya kadhi na wamekudhalilishia mashekh wako mpka wamelawitia au umesahau tyr

..asome na aelewe..!
 
MKAPA NI HATARI SANA!!

VERY STRATEGY LEADER...!!

Mpaka sasa hivi VIONGOZI wote wa UKAWA hawajazungumzia hoja ya msingi wa vipaumbele vyao....

Wako wanajibu maneno ya mkapa, kikwete , na warioba....

Wamechokaaaaa ukawaaaaa!! No point till this time...


Mmepoteana
 
Umaskini kasababisha mzee wa Richmond Mbowe sema ukweli.

Ambaye mpaka sasa rekodi zinaonyesha ni mkuu wa kaya. Ndio maana jamaa alipojiuzulu yeye akasema ni Ajali ya kisiasa tuu imempata.
 
chadema wasanii sana mara wanachama 30 mara slaa atakuwepo. Sasa hvi akina kibo 1 wamefyata
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…