Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Tuwaulize nyie mnaosema kuna mafuriko. Tunataka atueleze kuhusu Richmond maana wao ndiyo walisema ni fisadi. Tunataka tusikie akisema siyo fisadi.

Wewe ni Linamo au limao? Richmond tumeshaambiwa ni ya mkulu na yeye hajakanusha sasa uelezwe nini tena? Waliomwita Lowasa fisadi awali walikuwa Chadema, yeye kesha wajibu na wameridhika kuwa makosa hayakuwa yake sasa inakuaje wimbo wa kale wa chadema ndio unaimbwa na CCM sasa hivi?
Kama waliyajua hayo mbona kwa miaka minane walikaa kimya na wao ndio wenye vyombo vyote vya dola? Tulieni mkamuliwe tuu. Ndio maana hata Magufuli alipokewa kwa style ya aina yake Mbeya.

Vidole viwili akaishia kucheka mpaka kukaukiwa sauti
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli amechemka!badala ya sera na ilani wao wana Repeat vikao vya bunge lililopita!kwa kampeni hii Magamba wanawazidi kete!tunataka kusikia watatufanyia nini wakifika ikulu!taarabu hatutaki

Sumaye anamsafisha Lowassa tu

Tunachotaka ni Lowasa Ikulu,,mambo ya sera tutajua mbele ya safari ,
 
hebu wekeni transcript ya aliyoyasema huyu mhazbe,maana namsikia kwambali hata siezi shikanisha hasa anachoongea
 
Huyu Sumaye anaiharbu chadema bila kujijua, kwa kauli yake amethibitisha kwa ina kuwa low-hasa ni mgonjwa kweli.

Kwani huyu ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vinavyoundwa Ukawa? Msije mkawa na nwana ccm bila kujijua, maana hajarudisha kadi yake ya ccm, na wala hajapokea kadi ya chama chochote cha upinzani, kikatiba na kisheria, huyo ni mwanachama wa chama alicho na kadi yake, that's mean ni ccm. Kweli kaja Kuiimarisha ccm ndani ya ukawa
 
Chukua maji nenda kaharishe tena maana ukijbana utaharibu hali ya hewa hapo

Akili ndogo uliyonayo inakufanya uwe na jazba. Bisha kwa hoja matusi peleka ukawa au nyumbani kwako hapa tuachie ma great thinkers tukufundishe siasa. Usiwe bendera fata upepo.
 
Reactions: nao
sumaye anakoroga mafaili,anajikanyaga kuilaumu ccm,huwezi wauliza wananchi maswali ya kijinga...maswali ya bungeni!..raia wanashangilia bila kutafakari...mambo anaongea uzandiki kama ccm ina ngozi mbili ye na lowassa ni ngozi ngapi?

unasikia utamu ama uchungu? Endelea summa sema kilichopo maana waanzania wanaishi kwa propaganda siri nyingi zipo ccm ndio maana wanazima umeme -badilika we mama sijui baba
 
Seif kawa mjanja hajaiongea serikali maana ameyaona alipo kuwa makamu znz!...jamaa aliyefata anaendeleza sera malofa haha kweli UKAWA imelowa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…