Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
mbezi huku wamekata wangese sanaaa
hawajatangaza ilani ya uchaguzi ya ukawa
Akili ndogo uliyonayo inakufanya uwe na jazba. Bisha kwa hoja matusi peleka ukawa au nyumbani kwako hapa tuachie ma great thinkers tukufundishe siasa. Usiwe bendera fata upepo.
aah hope unamsikia Sumaye mkuu
Mpaka sasa sijaona kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kujilizaliza tu.
Wewe ni Linamo au limao? Richmond tumeshaambiwa ni ya mkulu na yeye hajakanusha sasa uelezwe nini tena? Waliomwita Lowasa fisadi awali walikuwa Chadema, yeye kesha wajibu na wameridhika kuwa makosa hayakuwa yake sasa inakuaje wimbo wa kale wa chadema ndio unaimbwa na CCM sasa hivi?
Kama waliyajua hayo mbona kwa miaka minane walikaa kimya na wao ndio wenye vyombo vyote vya dola? Tulieni mkamuliwe tuu. Ndio maana hata Magufuli alipokewa kwa style ya aina yake Mbeya.
View attachment 281763
Vidole viwili akaishia kucheka mpaka kukaukiwa sauti
amewajibu ccm,wamepata majibu yote kawaacha uchi.Huyu Sumaye anaiharbu chadema bila kujijua, kwa kauli yake amethibitisha kwa ina kuwa low-hasa ni mgonjwa kweli.
Kwani huyu ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vinavyoundwa Ukawa? Msije mkawa na nwana ccm bila kujijua, maana hajarudisha kadi yake ya ccm, na wala hajapokea kadi ya chama chochote cha upinzani, kikatiba na kisheria, huyo ni mwanachama wa chama alicho na kadi yake, that's mean ni ccm. Kweli kaja Kuiimarisha ccm ndani ya ukawa
Mpaka sasa sijaona kitu cha maana wanachofanya zaidi ya kujilizaliza tu.
Naamini raia wanaoshangilia ni wale fata mkumbo wasiokuwa na uwezo hata wakufikiri kwa dakika mbili.
Mi sio mwanachama wa chama chochote ila kwa uchambuzi mdogo tu naona ukawa wakijipanga wanaweza kuongoza nchi
Kuna vichwa vyao kama msigwa kafulila mdee mnyika salim mwalim
Km ukawa wakichukua nchi na wakawapanga vzr hawa watu wanaweza kuongoza nchi ikaenda
Wazee km sumaye watumike ktk ushauri tu
Wanaja jf hebu kwa upande wenu nitajieni watu wengine waliopo ktk ukawa wanaoweza kutumika ktk serikali ya ukawa
Yamekata umeme hapa ubungo
Utaujuwa vizuri uwezo wso october 15.