Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ukawa Vp?Yan Inaonyesha Dhahir Mlijipanga Kuja Kujibu Waliyosema Wenzenu Instead Ya Kutangaza Sera...Upumbavu Huu,kila Mtu Anajua Weakness Za Ccm Tuambieni Mtafanya Nin?Wapumbavu Sana Ukawa Watu Tunataka Kusikia Sera Nyie Mnakuja Kuwashushua Na Kuwapga Vijembe Ccm,mabadiliko Gan Tuyategemee Bila Kusema Chochote Mnabaki Mnajisifia Wing Wa Watu?
 
Hata Ilani hamjasoma mmekaa tu kushabikia na kubishana tu kama wanawake wa Daimond.
Maana hao ndio huwa wanabishana tu.
 
Tulitaka kufanya mabadiliko kulekule, kukawa na tatizo ndani ya CCM, ukitaka kufanya lolote
 
Tambwe Hiza naye amehamia Ukawa baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya CCM Temeke...
 
Inabidi aulizwe Sumaye hilo swali maana anatumia nguvu nyingi kupangua shutuma na tuhuma zinazomkabili ngoyai badala ya kueleza sera


Mbona nyie mnapoteza muda mwingi sana kumsema mzee wetu? Ebu muwe wavumilivu mnapolishwa ndimu.
 
Tambwe anaharibu! Aliyemuita fisadi Lowasa ni JK au chadema! JK hajawahi kumtukana Lowasa ila Slaa na Mnyika wanao ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…