Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

too late sisi tumeshaamua na lowassa tu hata hasipoongea kitu
 
Lowasa nimeamini kweli ni mgonjwa hata zungumza yake tu inadhihirisha
 
Asante mkuu wangu vyote viko applicable sio yule magufuli anasema laptop na barabara za hewani SHAME
 
Huwezi kuongoza nchi kwa hotuba ya dakika 8 tu,huu ni upuzi officially sikupi kura lowasa for the first time am going to vote for CCM magufuli
 
Mkuu nasikia mgombea ana dakika 5 tu za kuelezea Ilani!
Tatizo la UKAWA wanafikiri wanapambana na CCM peke yao katika uchaguzi huu mkuu. Waelewe wanapambana na vyama vingi vingine pia. Nashangaa wanapoteza muda wote kuwashambulia CCM bila kutueleza ni kipi cha maana watafanya zaidi ya kubwagiza peoples etc. Lowasa's presentation is an anti climax.
 
hao mashehe serikali inabidi ilete maelezo ya kueleweka,la sivyo ikulu mtaisikia kwenye majira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…