Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Babu Seya sasa dhahiri shahiri out titakapotinga Ikulu hahahaa Seya Mivalooooooooo
 
balali is alive,balali is alive ,balali is alive,balali is alive.......!!
 
Lowassa umetuangusha,,utaTupa Bandle? mama ntilie akasome hotuba mtandaon?
 
afya yake still ni questionalble -kwa kuwa nido mwanzo wa kampeni,ngoja tuone mwisho wake
 
EL anajichanganya eti Babu Seya atatoka jela anadharau mahakama hahaa.. eti mkutano wa WAKUBWA zetu kumbe anajua CCM ni noma!
 
Lowasa kweli Hanazo. Yaan atakachofanya tukimchagua na kumtoa babu seya na kumfufua balali !!! Hizo ndo sera za UKAWA. Huyu mzee kweli mgonjwa jamani
 
Nyie mbweha mliokua mnalalamika hamsikii vipaumbele hvyo hapo sasa....
Amesahau vipaumbele vya CHADEMA hadi akumbushwe. Yeye ana vipaumbele vyake kikiwemo cha kumtoa babu Seya ambaye aliharibu watoto wa watu!
 
Leo katika uzinduzi wa UKAWA Jangwani umeshuhudia kwa macho yako. CCM inafia mikononi mwako kwa kukata jina la Lowassa bila sababu yeyote. Wewe umeshuhudia ule umati na siyo umati wa kuunga unga na kompyuta. Tulikueleza lakini hukusikia. Asiye sikia la mkuu mwisho huvunjia guu.
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!
Mpumbavu ni wewe,
Hiyo mihimili mingine iko chini ya nani?
Rais ni mkuu wa nchi nzima kama hujui.
 
Jamanii..!!
Mzee anabebwa lakini habebekii..!!
Hajatendea haki ufunguzi wa Kampeini, Jangwani!
HII NINI JAMANI!?
 
Lowasa ni mpumbavu!
Serikari ina mihimili mitatu, executive! Judiciary na national assembly?
Ye anagombea executive! Hawezi kuingilia kazi ya mahakama!!

Jamani Jamani sasa Mabadiliko Ndio haya Jamani Mungu wangu wangu Ccm watatawala Muda mrefu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…