Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hivi ni watz wangapi wana hizo website watakaoisoma hiyo ilani ya uwaka mbona sanaa hii kama kisimu changu cha tochi ntaiona kweli wajemeni
 
Mungu kiukweli tunaomba umsaidie Lowassa leo udhaifu wa Afya yake umekuwa dhahiri sana..anahitaji msaada wa Mungu.Watu wengi wanajua ana uwezo lakini afya inakataa..ni vizuri tu viongozi wa Chadema walione hilo na kumshauri kupumzika

apumzike halafu nani agombee urais?
 
Bila shaka hawa ndugu zetu wa Ukawa hawako siriaz na matendo na matamshi yao, bado wanacheza siasa za sebuleni.

Wanashindwa kuelewa nini yalikuwa matarajio ya umati ule mkubwa uliofurika katika viwanja vya jangwani.

Kwa majibu ya haraka umma ule ulikwenda Jangwani kusikiliza sera na ilani ya Uchaguzi ya Ukawa kujua ina mambo gani ya kuvutia, ina yapi mapya ili bila shaka imsaidie kuanza kufanya maamuzi ni wapi aiweke kura yake.

Kitendo cha mgombea urais tuliyekuwa tumeambiwa tangu
 
Nafikiri na yeye atakuwa lofa kama malofa wengine
Nilidhani Lowassa atazungumzia Richmond. Mbowe Kanyamaza maana anajua alikuwepo bungeni wakati wa sakata la Richmond. Mzee Wangu Sumaye alikuwa marekani Wakati wa sakata la Richmond. Amedhihirisha kuwa yeye zero kwa kutetea asilolijua. Shame on you tribalistic politicians
 
dah naomba kazi ya kumuandikia hotuba lowassa for free nadhani chadema wameshindwa ktk sector ya hotuba kwa kiongozi wetu nimekuwa very very very disappoint on that dah

mkuu embu nieleweshe kwani mtu anaeongea sana na mtu anaetenda nani zaidi? watz tumezoea mno kudanganywa
 
How comes mtu anashindwa kusoma matarajio ya hadhira? hana mpangilio, haeleweki, vipa umbele vingine hadi akumbushwe! tuweni ukweli bora kumpa dovutwa kuliko lowassa. Niliwalaumu sana siku ya kwanza ccm kumkata, leo hii nimewaelewa. Lowassa sio presidential material at all
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Mkuu huo ndio ukweli tunahitaji mabadiliko na kuiondoa ccm madarakani
 
MAGUFULI AUMBUKA

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ameishia na sauti ghafla hali iliyolazimu mkutano wa kampeni kufungwa pasipo mgombea kumaliza kunadi ilani ya chama.

Magufuli amepatwa na balaa hilo leo hii akiwa mkoani Mbeya hali iliyozua hofu na sintofahamu nyingi juu ya afya ya mgombea huyo wa CCM.

Magufuli ambaye alitakiwa kuongea na waendesha boda boda mara ya mkutano huo kuisha ameishia kuwapungia mkono boda boda hao na juu ya tatizo la afya mgogoro uliomkumba.

Hata hivyo habari zilizotufikia hivi punde zinasema Magufuli amelazwa katika hospitali ya mkoa kwa kile kinachosemekana mapigo yake ya moyo hayapo sawa sawa.

Ikumbukwe moyo wa magufuli unafanya kazi kwa kifaa cha kuchaji kinacho rekebisha mapigo ya moyo kiitwacho "Pacemaker" ambacho kipo mwilini mwake.

Hii ni mara ya pili kupatwa na tatizo la kiafya tangu aanze kampeni za urais. Mara ya kwanza moyo ulileta shida akiwa mkoani Katavi hali iliyopelekea kushindwa kuhutubia katika mkutano mmoja wa hadhara na hivyo kuishia kuwapungia mkono watu waliojitokeza kumsikiliza.

Tatizo hili la moyo linampa wakati mgumu Dk. Magufuli nyakati hizi za kampeni.
 
Imeshangaza sana kwa mtu kama huyu ambaye hana uwezo kutaka uraisi.
 
Kazi mnayo sisi tumeshaamua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…