Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Hakuna biashara hiyo mkuu, yaani wale jamaa walikuwa wanapiga pesa sio mchezo, boza moja 15,000/- leo hii tunauziwa 1,650/- acha kabisa.
 
Maskini, JK hamkumhesabia kila jema alilofanya kama saiv mnavyofanya, wala hamkuhesab mema yote aliofanya bahat mbaya saiv anaonekan ni mtu alieshindwa, so mnachokifanya ni kucheza tu na mapigo ya ngoma yanavyoenda tunaita kwenda na upepo au kunafikia yaani wakicheka na wew unacheka hata km hauna furaha as long as unaexpect something unaeza pata. Thats what Tanzanians actually are.
 
Mleta mada weka rekodi zako sawa, sidhani hata Magu anahusika sana na hili tank. Project ya maji ilianza kipindi cha JK, Magu alichofanya ni kuhakikisha maji yanasambazwa maeneo yote kuanzia Kibamba, Kwembe, Mbezi na njia ya kuelekea Goba.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]zidumu fikra za mwenyekiti DJ wa ufipa
Kwa hiyo mnatembea mkiwa empty heads na ndo maana mnaona tangi la Lita milioni 10 tena kwa msaada wa WB nalo ni Jambo kubwa sana
 
Bila Magufuli kutoa pesa hilo tank ligejengwa?
 
Ndio unaziona sasa, tulia unyolewe vizuri.
Nani ananyolewa? Unadhani mimi naishi kwa buku saba kama wewe?

Dogo umeajiriwa kuja kusifia UHARO mitandaoni.

KAZI YAKO NI NGUMU TENA NI YA KISHETANI. YAANI UNAGEUZA UONGO KUWA UKWELI!!!!
 
Bila Magufuli kutoa pesa hilo tank ligejengwa?
Pesa zinatolewa na serikali kwa usimamizi wa Bunge kwa masharti ya Finance Bill ya mwaka husika.
Huyo uliyemtaja hata yeye analipwa mshahara kwa kutimiza wajibu wake kwa misingi ya katiba. Acha kuwa na akili za nguruwe kwenye mijadala ya watu
 
View attachment 1484494

Uongozi wa Magufuli ni wa vitendo vinavyoweka alama
Hill ni jukumu la serikali kijenga miundombinu kutokana na kodi zetu, hatulipi kodi ili ziwekwe benki. Tulilipa kodi wakati wa mkoloni na akajenga reli akaweka meli ziwa Tanganyika na Victoria, huo ilikuwa wajibu wa serikali na si hisani. Ninalipa kodi ya Rea ili wanavijiji wapate umeme, sifa zinifikie mimi na si serikali.
 
Nani ananyolewa? Unadhani mimi naishi kwa buku saba kama wewe?

Dogo umeajiriwa kuja kusifia UHARO mitandaoni.

KAZI YAKO NI NGUMU TENA NI YA KISHETANI. YAANI UNAGEUZA UONGO KUWA UKWELI!!!!
Kamanda mbona hasira tena, vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…