Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Mimi ni mkazi wa kibamba,mnyika mara ya mwisho kukanyaga huku ilikua 2015 baada ya kampeni,anaonekana upande wa goba na madale huko tuHilo Jimbo mbunge wake ni Bwana John Mnyika wa CHADEMA
kodi za wananchi zimeonekana kufanya kazi ya wananchi katika awamu hii..Ameweka Magufuli kwa hela zake za mfukoni au kodi za wananchi.
Msiwe wa.pumbavu kusifia hata ujinga.
Hizo ni kodi za wananchi. Wana haki ya kuletewa maendeleo!
[emoji23][emoji23][emoji23]Upuuzi mtupu.
Lakini baada ya sisi kulipa kodi. Sasa kwa nini usiseme wananchi ndo tunafanya haya? Kusifu kwingine mpaka kunapitiliza
Kuna wamarekani hawajawahi kutoka nje ya Marekani.Maccm wengi humu hawajawahi kutoka nje ya Tanzania ndiyo maana wanawehuka kwa kusifia.
Halikuwapo,Je mahitaji ya maji Dar na pwani yalikuwa kiasi gan hiyo 2015?2015 tanki lilikuwepo??
Du Inaonekana Magufuli anaweza akawa bilionia namba moja dunia hiiBila Magufuli kutoa pesa hilo tank lingejengwa?
Asante mbunge wetu Mnyika na Meya JacobMagufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa
Mkuu hata wewe ukitoka nje ya nchi hii na ukakaa huko for at least 2 months hutarudi ukiwa hivi ulivyo.you will be a different personal.Kutembea kunakupa nafasi ya kusoma na kujifunza through informal education ili kushape Ile formal education uliyoipataKuna wamarekani hawajawahi kutoka nje ya Marekani.
Kuna waingereza hawajawahi kutoka nje ya uingereza...
ni udandara kudhani ukienda nje ya Tanzania ndio unakuwa mjanja
Duh na wewe nae ubongo wako upo sawa?Du Inaonekana Magufuli anaweza akawa bilionia namba moja dunia hii
Hiyo milioni 50 kila kijiji haikusemwa itakuwamo ndani ya miradi ya maendeleo ya kila kijiji. Mwisho hata maji tutaambiwa yamo kwenye ujenzi wa barabaraKwa hiyo ulivyomjinga huoni Miradi ya maendeleo iliyopekekwa vijijini?
Ila nyie vijana sijui kuna mtu ali cast a spell on you
Hakuna matatAShida nini