Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

Ukraine nae kaimega nchi ya urusi ,na urusi hana la kufanya kabaki kulalamika tu😁

Ukrainian occupation force in Russia territory.., Nan aliwaza urusi atamuita Ukraine occupier katika ardhi yake,hii ni aibu ya karne
Umesema vijiji ,,,kwani hivyo vijiji vina ukubwa gani na pande alilomega urusi, wakaze msuli akiingia Trump kazi inaisha,,,,,,maana hawawezi kukaa mezani na mrusi ku bargain pande la nchi na vijiji
 
Thubutuuu ambia hezubulaa wakakalie NY uone
Usiongee tu kama umeshiba makande mkuu.
USA ishukuru Mungu imepakana na nchi marafiki.
Ila ingekua imepakana na nchi hasimu isingekua salama kama unavyodhani wewe.
Hao unaowaita Hizbollah usiwachukulie mtu mchele mchele.
Hao wenyewe wazungu wanakwambia ni ngumu kushinda vita na watu wanaoamini kufia imani..
 
Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.

Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.

Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
Western political analyst wengi wanasema kuwa lengo la Kursk incursion ni kupunguza kasi ya mashambulizi ya Russia ndani ya Ukraine na kupata leverage ya negotiations ya kuokoa maeneo yao baadae.
 
Sio wanasema ni kiroboto anachezea k3nd3 za a sleeping giant? Kwamba mwasho ukizidi likinyanyuka kiroboto masalia yake hayataonekana milele? Let's wait!
Huyo sleeping giant kama nakumbuka alisema anamaliza hiyo vita ndani ya masaa 72,lakini mpaka leo anahangaika nayo. Eti alisema haistahili hata kuitwa vita bali ni operation ya kijeshi
 
Back
Top Bottom