Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kabisaa maliasili kama yote, hadi vikwazo vimedunda jamaa anapeta tuUrusi ni Drc ya Ulaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa maliasili kama yote, hadi vikwazo vimedunda jamaa anapeta tuUrusi ni Drc ya Ulaya...
na siku za karibuni naona hajatoa update yoyoteNi aibu kubwa sana Yericko Nyerere chawa wa Putin sijui atasemaje! Super power kuvamiwa hata kwa kilometa moja na nchi ndogo kama Ukraine na kukaliwa zaidi ya wiki ni fedheha kubwa.
Urusi akiteka Kijiji kimoja Donbass, Ukraine anabeba vijiji 10 Kursk 🤣 😁Halafu Ukraine kapeleka vikosi vyenye nguvu huko kursk ,huku kwingine mrusi anasonga mbele kilaini hapati shida sana kwa sasa,,vita ni mahesabu
Mrusi kamega nchi sio vijiji na bado anasonga mbele, huko kursk kawaachia reserve wafanye kaziUrusi akiteka Kijiji kimoja Donbass, Ukraine anabeba vijiji 10 Kursk 🤣 😁
Ukraine nae kaimega nchi ya urusi ,na urusi hana la kufanya kabaki kulalamika tu😁Mrusi kamega nchi sio vijiji
Umesema vijiji ,,,kwani hivyo vijiji vina ukubwa gani na pande alilomega urusi, wakaze msuli akiingia Trump kazi inaisha,,,,,,maana hawawezi kukaa mezani na mrusi ku bargain pande la nchi na vijijiUkraine nae kaimega nchi ya urusi ,na urusi hana la kufanya kabaki kulalamika tu😁
Ukrainian occupation force in Russia territory.., Nan aliwaza urusi atamuita Ukraine occupier katika ardhi yake,hii ni aibu ya karne
Siyo kweli Krene ni Cyrene ambayo ni sehemu ya Libya.Heshima kwako Mkuu! Kumbe Ukraine ndo Krene ya kwenye vitabu vitakati
Awe makini.Anaweza kuondoka peke yake amevaa saa ya mkononi tu bila nguo yoyote.Putin ameanza kuvuliwa nguo, ataondoshwa ikulu ya Kremlin asipokuwa makini, inawezekana huu ukawa ndio mwanzo wa mwisho wake.
Anatumia makoleo sahivi tena sioAwe makini.Anaweza kuondoka peke yake amevaa saa ya mkononi tu bila nguo yoyote.
Usiongee tu kama umeshiba makande mkuu.Thubutuuu ambia hezubulaa wakakalie NY uone
Western political analyst wengi wanasema kuwa lengo la Kursk incursion ni kupunguza kasi ya mashambulizi ya Russia ndani ya Ukraine na kupata leverage ya negotiations ya kuokoa maeneo yao baadae.Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.
Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.
Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
Kuna watu hamtakiwi kuchangia hapa ndaniRussia ameomba msaada kwa Chechnya lakini bado mambo magumu
Sent from my CLK-LX2 using JamiiForums mobile app
Anayetakiwa kuchangia mama ako au siyo?.....Kuna watu hamtakiwi kuchangia hapa ndani
Sababu mnatuonesha kwakiasi gani akili zenu hazipo sawa
Anayetakiwa kuchangia mama ako au siyoKuna watu hamtakiwi kuchangia hapa ndani
Sababu mnatuonesha kwakiasi gani akili zenu hazipo sawa
Huyo sleeping giant kama nakumbuka alisema anamaliza hiyo vita ndani ya masaa 72,lakini mpaka leo anahangaika nayo. Eti alisema haistahili hata kuitwa vita bali ni operation ya kijeshiSio wanasema ni kiroboto anachezea k3nd3 za a sleeping giant? Kwamba mwasho ukizidi likinyanyuka kiroboto masalia yake hayataonekana milele? Let's wait!
Huna akiliAnayetakiwa kuchangia mama ako au siyo?.....
Huenda ikawa umepoteza kumbu kumbu kama bidenHuyo sleeping giant kama nakumbuka alisema anamaliza hiyo vita ndani ya masaa 72,lakini mpaka leo anahangaika nayo. Eti alisema haistahili hata kuitwa vita bali ni operation ya kijeshi