Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

jet TISS tunaweza kufaninisha na FBI kiutendaji???maanake hawa wote wanafanya kazi zao ndani ya mipaka ya nchi tu..

wajumvi wa mambo tusaidiane kwa hili.....
Hapana mkuu TISS generally inafanya ndani na nje ya nchi nahisi ndani yake ndio section za kudeal na mambo ya ndani tu na ya nje ila FBI yenyewe ina deal na ndani tu ila CIA ndio ina deal na mambo ya nje btw marekani ana communities zaidi ya 17 za usalama, CIA iko independent sana ndo mana perfomance yake ipo juu
 
Mbona umemsahau kamishna wa mgambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi takukuru umewasahau kwa makusudi ama kwa bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hukupanga kwa itifaki

1.MKUU WA MAJESHI-CDF
2.MKUU WA JESHI LA POLISI-IGP
3.MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA DG-TISS
4.COMMISIONER GENERAL OF PRISON-CGP
5.COMMISIONER GENERAL OF FIRE- CGF
6.COMMISIONER GENERAL OF IMMIGRATION-CGI
7.DG-TAKUKURU
8.MKURUGENZI WA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA.

Hivi ndio vyombe vya ulinzi na usalama kwa itifaki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaota mkuu wa Tiss ana report kwa katibu mkuu kiongozi atakuwaje mkubwa kuliko IGP??
 
Acha uongo toka lini DSO akawa mkubwa kuliko OCD???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…