Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Sijajua kama mtoa mada amemaanisha majadiliano na majibu haya yanayotoka au labda uwezo wangu wa kutanzua mafumbo unafifia??
 
Hapana hawawi vichwa, lakini kaka unatumia sana utashi wakati hapa tunazungumzia katiba inasemaje? Hata katika mfano wako wa mwanzo nilioukataa ni katiba ndio inazingatiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaongea vitu msivyovifahamu, TISS ni idara ndogo sana ambayo isipokuwepo Polisi au Jeshi la wananchi wanaweza kufanya

Polisi kuna kitengo ambacho hakina tofauti na TISS

Polisi anaweza kufanya kazi za Tiss ila Tiss hajui lolote kuhusu kazi za polisi

Haya mawazo ni iwapo mtataka tutumie utashi kama mnavyotaka iwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna nini kinaendelea..au kuna anaenda kukubaliwa kujiuzulu?
 
I wish I could be IGP
 
Nimeshangaa Sana kumbe wengi humu ni weupe kwenye maambo haya nikifika nitawafafanulia kidogo Niko on safari.
 
Labda kwa ufupi Sana mkuu wa nchi ambae ni rais kazi zake na maagizo yake yake yote nyeti hufanywa na tiss
 
Asilimia 80 ya watu wanaochanganganuwa taarifa nyeti za nchi na kumshauri rais namna Bora ya kufikia maamuzi ni tiss
 
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd
 
Ukiangalia ukaaji kwa zama hizi utachemka,nakumbuka enzi mwana pendwa wa DSM kabla ya Sasa alikuwa kwenye ukaaji ni karibu zaidi ya Magu.Na yeye ni RC tu
unazungumzia ukaaji wa namna yoyote au ukaaji wa kijeshi? (rank)
Makonda yeye anajikalia popote na hata hao Maaskari wake anaoongozana nao hata hawapi Heshima za kijeshi anajiona yeye ni Mkuu akimfuata Rais kwa Cheo
Kijeshi IGP ni juu ya TISS
 
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd

Mkubwa tofautisha matamanio, fikra na katiba.
 
Reactions: T11
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd
TISS ni kitengo kilichopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani (ya Simbachawene)
na hutoa kitengo maalum kwa ulinzi wa Viongozi akiwemo Rais, Waziri Mkuu wakuu wa Wilaya nk
sasa ukiona wale walinzi walivyojipanga km wa Obama, wa Gadaffi, au wa Kabila basi unajua saa zote wanaongea na Viongozi wao, hapana wapo watu maalum kisheria
hivyo IGP bado kwa Rank ni juu yao

Kuna jamaa katuwekea PDF hebu ifungue na usome kazi za TISS
https://www.jamiiforums.com/data/at...964_TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
(5) The Director-General shall, subject to this Act and to any directions of a general or specific character given by the President, be the chief executive officer of the Service and responsible to the Minister for the efficient and proper working of the Service.
11.-(1) For the purposes of giving directions under section
10, the Minister may issue to the Director-General written directions with respect to the Service and a copy of any such direction shall, as soon as it is issued, be furnished to the Chief Secretary.
(2) The Director-General shall consult with the Minister on matters concerning-
(a) The general operational policies of the Service; and​
cc Evarist Chahali
 
Lugha ni muhimu kwako kwani nimekuambia fungua PDF uijue TISS (Tanzania Intelligence Security Service)
https://www.jamiiforums.com/data/at...964_TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
Tatizo wewe unawajua jamaa wa Ikulu Magogoni tu, wakati wametapaa kila kona, Nachingwea, Kondoa, Karagwe Arusha nk soma kazi zao sio kuangalia hao wanaovaa magwanda na silaha
nimekuelewesha hicho kitengo cha Magogoni ni cha ulinzi wa Kiongozi kikisaidiana na wengine chini ya Director anayewasilisha shughuli kwa Rais ambaye atapata ushauri au kuwasiliana na Waziri wa Mambo ya ndani. (tafsiri yangu)
Lugha ikigongana bora UZI ufutwe

Rais John Magufuli akizungumza na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama na wengine kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Diwani Athuman Msuya (wa tatu kutoka kushoto) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam jana. Picha na Ikulu
anagalia Vyeo kuanzia kushoto kwenda kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…