Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

 
Tiss ndo mkubwa wa woote. Kazi yake ni ya kimya kimya. Hana uniform wala cheo kinachoonekana. Tiss wanaachwa hivyo hivyo. Hao tiss ndo wanapendekeza majina ya hao ma IGP, CDF , na hata Rais wa nchi anaoendekezwa na TISS. TISS NI USALAMA WA NCHI KWA UJUMLA. TISS WAPO JESHINI.POLISI.MAGEREZA, MPAKA IKULU
Acha kucheza na Igp, angalia wanavyosimama kiprotokali wakiwa na rais, Mkurugenzi wa Tiss anakaa mbali sana

CDF, IGP.......

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wote wanapiga saluti kwa mkuu wilaya
 
Umemaliza kila kiu, kama wasipoelewa hapo watakuwa na matatizo makubwa.
 
N
Umemaliza kila kiu, kama wasipoelewa hapo watakuwa na matatizo makubwa.
Nimewaeleza ila kwa makusudi Kuna watu wa hivyo vitengo humu wanapotosha makusudi ; vetting zote nyeti nchi hii zinafanywa na tiss halafu useme dgi wa tiss ni mdogo utakuwa na MAPUNGUFU makubwa akilini hebu angalia polisi wote 99% wanawaogopa tiss lakini huwezi kuta tiss anamwogopa polisi katu labda amjue ni mwanakitengo mwenzake wa higher rank halafu ukubwa wa tiss hauonekani kwa macho Bali kwa impact nimeshangaa hata PASKAL ameshindwa kulielezea hili what matters ni impact na sio protocol zinazooneka kwa macho!
 
Wale viongozi wwa vyombo vya ulinzi na usalama wote wamependekezwa na DGIS ndio wajue sio mtu wa mchezo mchezo. Hata kwenye ngazi ya mkoa RSO huwa hawamzungumzii ila ana nguvu sana katika ngazi ya mkoa na viongozi wote katika ngazi ya mkoa wanatambua nguvu yake.
 
Haiwezekani TISS iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani hata kwa akili ya kawaida..maana tiss inahusika na usalama hata kutokea nje ya nchi, kwa sababu kwa tz hakuna idara tofauti inayohusika na intel za kimataifa kama CIA au MI6, but usalama wa ndani na nje zote ziko tiss..

Sasa haiwezekani iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani wakati inahusika na mambo ya nje
 
Kwani unadhani mshauri wa rais wa mambo ya afya ni daktari wa kawaida??
 
Raia haogopwi! ila nasikia wanachohofia hao mapot, TIss ni wambea.

5/5
 
Mjinga anaelezwa kwa fimbo kama hizi ulizompa
 
Nikuulize. Swali dogo tu kama unauelewa pale ikulu magogoni au dodoma chamwino polisi kwa maana ya TP na TISS nani wapo kwenye uwakilishi na utumizi mkubwa kwenye ofisi ya rais ambayo ndio ofisi takatifu ya taifa ? Hivi unazijua ikulu lakini au unaongea kama paskali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…