Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Ushamba mzigo sana
 
Vuta Nkuvute leo anakula Pasaka wapi?
 
Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!
Na wewe ni Mwanajamii Forums?

Bora uishie Facebook huko.

Hakuna Mwanajamii Forums anayeamini Ccm inashinda kwa kura.
 
Shida moja anamtukuza mwendazake Kila muda waache wafu wazike wafu wenzao
 
Samia sijaona mtu wa kumfanyia kampeni kama Mwenezi Polepole wakati wa JPM! Nikwambie hakuna mvuto wowote CCM wanao kwa wananchi tofauti na kumtumia Makonda!
Wanaona atakubalika sana na kuna uwezekano walitaka kumtoa kabisa ila Chama kitatingishika!
Siku Samia akiacha kumsikiliza JK ataanza kufanikiwa!
 
Huyu dogo hajifunzi. Watu ndio wanakupandisha na watu ndio wanakushusha.
Makonda ni political figure utake usitake usije ukashangaa wakamrudisha tena ndani ya chama kabla ya uchaguzi!
Kuna kikundi kidogo cha watu wazito hapo ndani ndo hakimtaki Makonda wanaumia sana kwa alivyokuwa anajaza mikutano yake!
 
Hatuwataki CCM... mtuwache
 
Yote maisha
Ila tujifunze kuweka akiba ya maneo
Dunia hii ni duara
 
Na wewe ni Mwanajamii Forums?

Bora uishie Facebook huko.

Hakuna Mwanajamii Forums anayeamini Ccm inashinda kwa kura.
Basi sawa wewe unajua! Hata wizi wa kura unahitaji uhalisia unaiba lakini pia unauwezo wa kudefend huo wizi!
 
Akakimbizane sasa na Walimu kukusanya michango ya Mwenge
 
Makonda ni political figure utake usitake usije ukashangaa wakamrudisha tena kabla ya uchaguzi!
Kuna kikundi kidogo cha watu wazito hapo ndani ndo hakimtaki Makonda wanaumia sana kwa alivyokuwa anajaza mikutano yake!
Kwani kujaza mkutano kwa CCM unadhani ni kazi ngumu? Makonda hana adabu kwa wakubwa zake na anapenda kujimwambafai sana akipata nafasi . Nasikitika sana hakujifunza kipindi chote alichokua benchi.
 
Kwani kujaza mkutano kwa CCM unadhani ni kazi ngumu? Makonda hana adabu kwa wakubwa zake na anapenda kujimwambafai sana akipata nafasi . Nasikitika sana hakujifunza kipindi chote alichokua benchi.
Hata sisi tuliamini atabadilika hata aliyemteua aliamini hivyo.

Lakini bado
 
Kwani kujaza mkutano kwa CCM unadhani ni kazi ngumu? Makonda hana adabu kwa wakubwa zake na anapenda kujimwambafai sana akipata nafasi . Nasikitika sana hakujifunza kipindi chote alichokua benchi.
Sio kazi sawa! Hao wakubwa wakikosewa adabu au kunyimwa adabu wewe unapata nini?
Hao unaojidai hapa ni viongozi wako wengi wao ni wezi n hawana msaada wowote kwako!
Nitajie nani kiongozi ndani ya CCM kwa saaa wenye ushawishi kwa wananchi kumzidi Makonda? Kwa maana hata Samia anazidiwa na Makonda kiushawishi!
 
Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…