Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Mimi sijawahi mwelewa Makomda hata siku Moja. Ni mtu ambaye hajui aseme Nini wapi na Kwa sababu gani. Anapenda sana ubabe na akipata power baaasi anasahau kuwa na yeye ni binadamu kama wengine.

Ajifunze kuwa humble?
 
Shida moja anamtukuza mwendazake Kila muda waache wafu wazike wafu wenzao
Njia pekee ya kupata kuungwa mkono kwa wakati huu ni kumsifia mwendazake, ni mwendazake lakini watu wa hali ya chini walimpenda na kumuunga mkono sana. Makonda alilijua hilo na ndio limefanya akubalike na watu.

Makonda ana wafuasi wengi, na wengi kati yao ni wale wa JPM, huu ni ukweli mwingine ambao hatuwezi kuukataa labda kama tunajifariji.
 
Mimi sijawahi mwelewa Makomda hata siku Moja. Ni mtu ambaye hajui aseme Nini wapi na Kwa sababu gani. Anapenda sana ubabe na akipata power baaasi anasahau kuwa na yeye no binadamu kama wengine.

Ajifunze kuwa humble?
Na wafuasi wake nao wako hivyo hivyo.....tena ukiwaona wamechoka balaa....ila sasa😂😂
 
Kulirudia sana neno "simpendi" unajionesha unavyopenda kudanganyadanganya.
 
Si vibaya kumpa moyo mtu wakati wa matatizo
 
Na huko Arusha ataenda na zile Siasa zake za Maji Taka kukusanya Nyumba ndogo za Lema na Wapinzani wengine na kuwaambia wajitokeze hadharani kama ilivyokuwa kwa Marehemu Fatuma Lowassa.
 
Kulirudia sana neno "simpendi" unajionesha unavyopenda kudanganyadanganya.
Sema uwezavyo. Fatilia thread zote sijawahi mpenda makonda madarakani. Kibongo hapa. Sijawahi mpenda sabaya. Na sipendi watu kama nyie ambao uchambuzi na projection zenu za hovyo. Hiyo pia ya hovyo sana. Ndio huwa mnagongewa mpaka wanapata mimba wake zenu na mnakubali
 
Nipe sababu za Kwa nn katolewa kwenye uenezi
Labda lingine ambalo sijui wewe Kwa upeo kama unalijua hivi kweli Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge na je wanyonge ni akina nani tuendelee na mjadala
 
Bado haikubadilishi tabia yako.Kaongokaongo.
 
Makonda hata akiwa DC tu anaweza kukitumia cheo hicho na kukikuza kwa namna ambayo watu hawakujua inawezekana. Utaona mbwembwe zake huko Arusha.

Wale vijana wahuni wa chugga wajiandae kisaikolojia.
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja tujipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…