Samia hana ushawishi wowote subiria uchaguzi ndo utajua hana ushawishi au anao!Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia hana ushawishi wowote subiria uchaguzi ndo utajua hana ushawishi au anao!Samia
Lakini Ndio Rais ajaye utake usitakeSamia hana ushawishi wowote subiria uchaguzi ndo utajua hana ushawishi au anao!
Hahaha......the winnerHussein Bashe naona leo atafuturu kwa Bia bariiidi lile Jambazi limepelekwa mbali.😁😆
Mama kaonyesha kuwa Bashe ni muhimu kwake kuliko yule Jambazi.Hahaha......the winner
🤣 lile sakata la sukari ilikuwa noma sana. 🤣Hussein Bashe naona leo atafuturu kwa Bia bariiidi lile Jambazi limepelekwa mbali.😁😆
Shida moja anamtukuza mwendazake Kila muda waache wafu wazike wafu wenzao
Na wafuasi wake nao wako hivyo hivyo.....tena ukiwaona wamechoka balaa....ila sasa😂😂Mimi sijawahi mwelewa Makomda hata siku Moja. Ni mtu ambaye hajui aseme Nini wapi na Kwa sababu gani. Anapenda sana ubabe na akipata power baaasi anasahau kuwa na yeye no binadamu kama wengine.
Ajifunze kuwa humble?
Kulirudia sana neno "simpendi" unajionesha unavyopenda kudanganyadanganya.Mm mtu wa mbeya akiandika thtead kuhusu mtu wa dar huwa najua ataandika vumbi. Humjui makonda wewe.. atakusanya zile pikipiki zote za arusha zimfate nyuma. Ana matajiri wengi sana Arusha kuliko dar. Huko ndio hata zile defender za mwamvuli zilipotengenezwa tena bure kwa serikali ila washika dau wakatoa hela. Huko ndiko hata Alipata landcruiser lake la kwanza. Inshort wale watu anaozunguka nao kule paris akienda au russia wapo huko. Makonda ana wafanyabiashara ndio wanaompa jeuri hakai na wangese.
Simpendi ila nasema makonda yupo nyumbani kwake sasa.
Na pia utajiri utaongezeka maana atadaka appartment nyingi sana huko. Kama sio viwanja vya mjini.
Cha mwisho. Makonda bado hajazeeka. Mtoto mdogo na anakula parefu sana. Hata mtata yysuph makamba hajafikia hili jamaa.
Makonda simpendi ila namuomba akafanye kazi yake na status ya ubabe ismtoke moyoni mwake. Aje kupoa hata 15 years to come. Huko ndio afanye watu wanachitaka.
Shida hawezi tu kuwa raisi. Ila ana muda mrefu kutesa mioyo yetu. Namuombea ila simpendi.
Si vibaya kumpa moyo mtu wakati wa matatizoMm mtu wa mbeya akiandika thtead kuhusu mtu wa dar huwa najua ataandika vumbi. Humjui makonda wewe.. atakusanya zile pikipiki zote za arusha zimfate nyuma. Ana matajiri wengi sana Arusha kuliko dar. Huko ndio hata zile defender za mwamvuli zilipotengenezwa tena bure kwa serikali ila washika dau wakatoa hela. Huko ndiko hata Alipata landcruiser lake la kwanza. Inshort wale watu anaozunguka nao kule paris akienda au russia wapo huko. Makonda ana wafanyabiashara ndio wanaompa jeuri hakai na wangese.
Simpendi ila nasema makonda yupo nyumbani kwake sasa.
Na pia utajiri utaongezeka maana atadaka appartment nyingi sana huko. Kama sio viwanja vya mjini.
Cha mwisho. Makonda bado hajazeeka. Mtoto mdogo na anakula parefu sana. Hata mtata yysuph makamba hajafikia hili jamaa.
Makonda simpendi ila namuomba akafanye kazi yake na status ya ubabe ismtoke moyoni mwake. Aje kupoa hata 15 years to come. Huko ndio afanye watu wanachitaka.
Shida hawezi tu kuwa raisi. Ila ana muda mrefu kutesa mioyo yek. Namuombea ila simpendi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaniniHuko anaenda kuharibu kabisa utaratibu wa utalii.
Wazungu wanapensa Ustaarabu sana na utulivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini
Wewe kweli[emoji16][emoji16]Kinachotushangaza watanzania ni kuhusu mteuaji anakazi ya kuteua tu ?Toka aanze kazi hatuoni Cha maana zaidi ya kuteua tu
Sema uwezavyo. Fatilia thread zote sijawahi mpenda makonda madarakani. Kibongo hapa. Sijawahi mpenda sabaya. Na sipendi watu kama nyie ambao uchambuzi na projection zenu za hovyo. Hiyo pia ya hovyo sana. Ndio huwa mnagongewa mpaka wanapata mimba wake zenu na mnakubaliKulirudia sana neno "simpendi" unajionesha unavyopenda kudanganyadanganya.
Nipe sababu za Kwa nn katolewa kwenye ueneziNjia pekee ya kupata kuungwa mkono kwa wakati huu ni kumsifia mwendazake, ni mwendazake lakini watu wa hali ya chini walimpenda na kumuunga mkono sana. Makonda alilijua hilo na ndio limefanya akubalike na watu.
Makonda ana wafuasi wengi, na wengi kati yao ni wale wa JPM, huu ni ukweli mwingine ambao hatuwezi kuukataa labda kama tunajifariji.
Bado haikubadilishi tabia yako.Kaongokaongo.Sema uwezavyo. Fatilia thread zote sijawahi mpenda makonda madarakani. Kibongo hapa. Sijawahi mpenda sabaya. Na sipendi watu kama nyie ambao uchambuzi na projection zenu za hovyo. Hiyo pia ya hovyo sana. Ndio huwa mnagongewa mpaka wanapata mimba wake zenu na mnakubali
Ikifikia hapa huwa siquote tena🗑️ jioni njema.Bado haikubadilishi tabia yako.Kaongokaongo.
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja tujipangeMakonda hata akiwa DC tu anaweza kukitumia cheo hicho na kukikuza kwa namna ambayo watu hawakujua inawezekana. Utaona mbwembwe zake huko Arusha.
Wale vijana wahuni wa chugga wajiandae kisaikolojia.