Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Umesahau alivyokua dar, makonda alitembea na magari lukuki kwenye ziara kwa kifupi makonda ye hafuati utaratibu atakusanya magari ya halmashauri zote za mkoa wake wanamfukuza kwa nyuma!!!!
Jamaa anapokuwa jogging nyuma kuna gari inamfuata kwa karibu. Manina zake walah
 
Wewe ndio jinga na TAHIRA la kiwango Cha juu sana, na Sina uhakika na Uwezo wako kichwan .

Ni limtu tuu TAHIRA TAHIRA .
Ushauri: ukijenga hoja, jaribu kuwa na kifua. Inapotokeq mtu akataka ‘kui water down’ hoja yako, pambana naye kwa nguvu ya hoja. Si kumjibu kwa kutukana. Hapo utakuwa umeitendea kweli hoja yako. Ni mawazo yangu tu!
 
Alikua anajijenga yeye na sio chama na makonda ni sawa na mbwa mzee hawezi jifunza sheria
Ni wehu tu hawamwelewi, kwanza ni mbaguzi mkabila hatari, huyo bwana mdogo ni hatari kwa utaifa wa nchi hii. Kule usukumani alikuwa anaongea kisukuma tu. Sasa atulize tako, mara kwa Mabeyo kisa tu ni msukuma. Ila wasukuma ni washamba na mapimbi yasiyoelimika, mtazame Luhaga Mpina
 
Huyo lofa anaenda kumalizwa, suals la muda tu
 
 
Eti Makonda kazi nzuri, matumizi mabaya ya akili au huna kabisa
 
Hili zezeta kweli kweli!!
 
Jamaa ana asili ya UBABE NA MAMLAKA ANAYO ARUSHA WATANYOOKA
 
Umesahau alivyokua dar, makonda alitembea na magari lukuki kwenye ziara kwa kifupi makonda ye hafuati utaratibu atakusanya magari ya halmashauri zote za mkoa wake wanamfukuza kwa nyuma!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huo ushawishi wa makonda umekusaidia nini wewe mwananchi? Wewe ni miongoni mwa wale mnaopenda siasa za umaarufu hata kama hazina faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…