Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Umesahau alivyokua dar, makonda alitembea na magari lukuki kwenye ziara kwa kifupi makonda ye hafuati utaratibu atakusanya magari ya halmashauri zote za mkoa wake wanamfukuza kwa nyuma!!!!
Jamaa anapokuwa jogging nyuma kuna gari inamfuata kwa karibu. Manina zake walah
 
Wewe ndio jinga na TAHIRA la kiwango Cha juu sana, na Sina uhakika na Uwezo wako kichwan .

Ni limtu tuu TAHIRA TAHIRA .
Ushauri: ukijenga hoja, jaribu kuwa na kifua. Inapotokeq mtu akataka ‘kui water down’ hoja yako, pambana naye kwa nguvu ya hoja. Si kumjibu kwa kutukana. Hapo utakuwa umeitendea kweli hoja yako. Ni mawazo yangu tu!
 
Alikua anajijenga yeye na sio chama na makonda ni sawa na mbwa mzee hawezi jifunza sheria
Ni wehu tu hawamwelewi, kwanza ni mbaguzi mkabila hatari, huyo bwana mdogo ni hatari kwa utaifa wa nchi hii. Kule usukumani alikuwa anaongea kisukuma tu. Sasa atulize tako, mara kwa Mabeyo kisa tu ni msukuma. Ila wasukuma ni washamba na mapimbi yasiyoelimika, mtazame Luhaga Mpina
 
Ameajiriwa kama katibu wa itikadi mwaka ulopita lakini hajavuka hata miezi 6 katenguliwa japo hatujajua dhumuni la CCM/TISS/Mama labda kumuandalia nafasi kubwa zaidi au ni kama punishment kwa kauli zake za kila siku za kutotaka watu wasimuongelee mabaya Hayati.
Huyo lofa anaenda kumalizwa, suals la muda tu
 
Hii Nchi, inaumizwa Kwa kua na Rais wajinga, wapumbavu namna ya Mtoa Uzi Huu.

Hivi Kwa Kazi nzuri anayoonyesha Paul Makonda, Ukiondoa mapungufu yake ambaye hata wewe unayo.

Unapata wapi Gut za kumcheka na kumponda Mh Paul Makonda?.
We ni punguani km hao mashetani ulowataja.
Ziara zake alizofanya, Kuonyesha Wananchi wanataka nn, kuonyesha mashimo yote ya upigaji ,uvivu, Uzembe ,ufisadi, kutokuwajibika, Uonevu , kuchelewesha Kwa miradi , n.k , Kwa Uwezo wake, Changamoto zilizokua mikononi mwake, akafanikiwa kuzitatua hapo hapo, nyingine akazipeleka panapotakiwa.

Utamwambia nn, Mama ambaye alikua akizungushwa, akiliwa Pesa zake ,akionewa kisa wahuni fulan tu wa Ardhi?.

Vipi kuhusu waloonewa na Polis ?.

Vipi wale ambao ilionekana mahakama waziwazi kabisa, imewanyima haki zao?.

Vipi wale waloonewa na Watumishi wa Halmashauri ?.

Paul Makonda Kwa muda wake mfupi, alifanya CHAMA kikaaminika ghafla, Paul Makonda Kwa muda wake, alifanya Watumishi wa Halmashauri nyingi Nchini kuanza kubadilika na kuchukua hatua , Kila Halmashauri ilipopata Taarifa za ujio wa Makonda, wakifanya kazi usiku na mchana bila kulala .

Na Matokeo yakaonekana.

Watanzania, kama tutaendelea na akili za kipumbavu namna hiii, hautakaa kupiga hatua yoyote.

Nchi Sasa umerudi mikononi mwa Matajiri Akina GSM, Familia za JK ,Makamba ..hivi kweli watu Hawa wachache , ndio ambao wanatoa Dira ya Taifa lenye watu million 60?? Na bado mnacheka kindezi kindezi??.

Tulikua na HAYATI JPM, alojitoa Maisha yake , mud wake mfupi aloishi, ukatosha kutuonyesha ni kitu gan tulikosa.

Akafariki, Wajinga wakacheka, Sasa kinachoendelea Leo, kimewafanya mmkumbuke.

Fikra za ukombozi, kwakua hazifi, Leo tunao Akina PAUL MAKONDA... badala ya kuwaunga mkono, nasisi tunaburuzwa na wpaumbavu wachache, wazandiki na mafisadi kiasi Cha kua wasaliti Kwa watu wa aina ya Makonda.

Leo hii, Jerry Silaa, anapambana kuhakikisha Migogoro ya Ardhi inaishia..ila naye tayari nmeanza kumtengenezea Zengwe la kufa mtu.

Mnataka nini?.
 
Eti Makonda kazi nzuri, matumizi mabaya ya akili au huna kabisa
 
Hili zezeta kweli kweli!!
 
Mm mtu wa mbeya akiandika thtead kuhusu mtu wa dar huwa najua ataandika vumbi. Humjui makonda wewe.. atakusanya zile pikipiki zote za arusha zimfate nyuma. Ana matajiri wengi sana Arusha kuliko dar. Huko ndio hata zile defender za mwamvuli zilipotengenezwa tena bure kwa serikali ila washika dau wakatoa hela. Huko ndiko hata Alipata landcruiser lake la kwanza. Inshort wale watu anaozunguka nao kule paris akienda au russia wapo huko. Makonda ana wafanyabiashara ndio wanaompa jeuri hakai na wangese.
Simpendi ila nasema makonda yupo nyumbani kwake sasa.
Na pia utajiri utaongezeka maana atadaka appartment nyingi sana huko. Kama sio viwanja vya mjini.
Cha mwisho. Makonda bado hajazeeka. Mtoto mdogo na anakula parefu sana. Hata mtata yysuph makamba hajafikia hili jamaa.
Makonda simpendi ila namuomba akafanye kazi yake na status ya ubabe ismtoke moyoni mwake. Aje kupoa hata 15 years to come. Huko ndio afanye watu wanachitaka.
Shida hawezi tu kuwa raisi. Ila ana muda mrefu kutesa mioyo yetu. Namuombea ila simpendi.
Jamaa ana asili ya UBABE NA MAMLAKA ANAYO ARUSHA WATANYOOKA
 
Umesahau alivyokua dar, makonda alitembea na magari lukuki kwenye ziara kwa kifupi makonda ye hafuati utaratibu atakusanya magari ya halmashauri zote za mkoa wake wanamfukuza kwa nyuma!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kazi sawa! Hao wakubwa wakikosewa adabu au kunyimwa adabu wewe unapata nini?
Hao unaojidai hapa ni viongozi wako wengi wao ni wezi n hawana msaada wowote kwako!
Nitajie nani kiongozi ndani ya CCM kwa saaa wenye ushawishi kwa wananchi kumzidi Makonda? Kwa maana hata Samia anazidiwa na Makonda kiushawishi!
Sasa huo ushawishi wa makonda umekusaidia nini wewe mwananchi? Wewe ni miongoni mwa wale mnaopenda siasa za umaarufu hata kama hazina faida.
 
Back
Top Bottom