LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Una mrahisishia maisha mtoto ili iweje? Wakati akirudi mtaani anakutana na maisha yale yale ambayo ulijaribu kumrahisishia alipokuwa mtoto..Kupeleka mtoto Private ni zaidi ya kufaulu kwenye mitihani, Hata vijijini kwenye shule wanazokaa chini wapo vipanga wanaofaulu zaidi.
Ni suala la kumrahishia maisha mtoto, kuhusu kufaulu hilo ni jambo lingine.
soma uzi mzima.
Ni sawa na kumdanganya mtoto kuhusu uhalisia wa maisha